Arobaini ya REJIA MTEMA Kesho tarehe 03/03/012 ni

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68

  • Remija Mtema


    Wapendwa salamu!
    Familia ya Dr Estelatus Mtema inapenda kuwakaribisha ndugu jamaa na marafiki zetu wote kwenye kumaliza msiba (arobaini) ya mpendwa wetu Mh Regia Estelatus Mtema itakayofanyika nyumbani kwao Ifakara siku ya tarehe 3/3/2012.
    Karibuni sana!



    My take:wadau tuhudhurie kumuombea dua kamanda Rejia (R.I.P).
 
Kumuombea Dua, je wataruhusiwa wenye dua kumuombea (waislamu). Samahani ni swali tu naomba kuelewa, sori kama nitamkwaza yeyote.
 
Back
Top Bottom