April Fools

Status
Not open for further replies.
Jamani hii siku mbona ina vituko namna hii na habari za kimzahamzaha! Kwa nini ikaitwa siku ya wajinga?
 
wale watuhumiwa wanoaminikika kushiriki kwenye kashfa mbalimbali leo mida ya saa tatu asubuhi wanafikishwa kizimbani pale mahakama ya kisutu , wananchi wamefurika kwa wingi kujionea kwa macho ni bureeeeee ila mwisho ni saa tatuu
 
hata jinsi ya kutunga habari ya uongo ionekane na uweli ndani yake bado una tatizo " yona , mramba , lowassa, rostarm na wengine wengi kizimbani leo " mhhh

Anyway asante kutukumbusha sikukuu ya mafisadi kuwa ni leo.
 
Kuna tetesi kwamba Zitto Kabwe amejiunga na CCM na kisha atagombea jimbo moja la Dar es Salaaam.:confused:
 
Tetesi nilizosikia muda si mreafu ni kuwa Zitto Kabwe ahamia CCM. Sina uhakika na hili na wenye additional information watueleze.

Naona ipo thnread ingine...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom