application iphone 3G

the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,959
1,894
Natumia hii cmu na kwa sasa cna hela ya kununua cmu nyingine,naomba msaada juu ya application ambazo zinakubali kwenye hii phone,opera teyari ninayo natumia ku browse pia nawezaje weka whatsapp maana direct downloadng naona iko inauzwa!ahsanten wadau
 
Mkuu iphone 3G ina-run iOS 4.2.1 ambayo ndo latest kwake na ya mwisho kutolewa na apple kwaajili ya simu yako. Tatizo linakuja application nying katika appstore zinahitaji iOS 4.3 kwenda mbele na whatsapp waliacha kusupport iOS 4.2.1 ila kuna tutorial naweka muda si mrefu ukiweza ifuata basi utaweza wacheat apple na kuinstall whatsapp katika simu yako.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Na Kama Ana moyo mgumu aijailbreak ndio ate enjoy zaidi broh cha msing update software at lest ufike kwenye 5.1.1
 
Iphone 3G update yake mwisho ni iOS 4.2.1 ila kuna trick ya kuifanya ionekane ni iOS 4.3 au hata 5.1

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Iphone 3G update yake mwisho ni iOS 4.2.1 ila kuna trick ya kuifanya ionekane ni iOS 4.3 au hata 5.1

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

vp Mbona Kmya Mkuu !!! tunasubir hyo Trick!!!
 
Iphone 3G update yake mwisho ni iOS 4.2.1 ila kuna trick ya kuifanya ionekane ni iOS 4.3 au hata 5.1

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Baraka inaonekana hizi simu kutumia kwa mtu lofa kuna shuhuli,mi sijawhi kuitumia lakini wengi wa walionunua kwa kutaka sifa wanapata shida nazo sana jinsi kwa mfano ya kudownload apps,miziki na vikorokoro vingine,mimi nishazoea simu zinazotumia android,ziko user friendly kulinganisha na hizo IPhone na BB
 
Kwa wale wenye iphone 3G kuja chini, msiwe na wasiwasi. Whited00r is your solution. Haya tembeleeni apa mjipatie solution

Whited00r Upgrade Unlock Jailbreak iPhone 2G/3G iPod Touch 1G/2G

hii whitedoor ni mbwembwe tu wanajaribu kukupa features kama za ios 5.1 lakini huwezi download any application. What you get ni features tu za ios 5, na mbaya zaidi your phone inakuwa downgraded zaidi to ios 3 na your phone firmaware base inakuwa down graded ndipo hiyo whitedoor inaingia.
Kwangu its a stupid thing
 
Baraka inaonekana hizi simu kutumia kwa mtu lofa kuna shuhuli,mi sijawhi kuitumia lakini wengi wa walionunua kwa kutaka sifa wanapata shida nazo sana jinsi kwa mfano ya kudownload apps,miziki na vikorokoro vingine,mimi nishazoea simu zinazotumia android,ziko user friendly kulinganisha na hizo IPhone na BB

ndg hz cmu shida c kutumia ila software zake znabeupdated mara kwa mara na kuna ambazo znashindwa support new updates hivyo kukosa cfa ya kupata current updated applications!maana kubwa hizi iphone ni kama zna expire date bhana maaana kama hii yangu ndio haifai tena imebak nichukue na nokia c3 niitumie kwa whatsapp na kudownload baadh ya vitu vyangu muhimu maaana iphone 3g inabrowse dowloading nop nop
 
Asante kwa kutuelewesha kaka je vipi pia kuhucu Mac compuetrs nazo zinautata kama hizo cmu,maake kuna jamaa yangu alikuwa na Mac ilipoharibika akapeleka pale Elite,kwani hazina mafundi wa mitaani akaambiwa matengenezo ni USD 1000 ,sasa imebaki kwenye Makumbusho sebuleni,naona hivi vifaa vya maruhuni Steve Jobs bado kwa akina yakhe ni shughuli pevu kuvimudu na kuviendesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom