Apigwa makofi mawili kanosani.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Jamaa mmoja alikwenda kazini macho yote mawili yamevimba. Bosi wake akamuuliza kulikoni? Akajibu nilikuwa kanisani tunasali, tuliposimaa nikaona mwanamke mbele yangu sketi yake imeingia katikati ya makalio yake nikaitoa, akanipiga kofi. Bosi akauliza tena, na hilo jicho lingine? Jamaa akajibu, aliponipiga kofi nikadhani hakupenda sketi itoke katikati ya makalio yake, hivyo nikairudishia ilivyokuwa mwanzo, ndipo aliponipiga tena upande wa pili.
 
teh,teh,teh,kibelaaa... weekend yangu itakuwa njemaaa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom