Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,291
- 10,706
Hujui haki zako ndio maana kazi kuishabikia ccm na siku wakiomba jicho kwa kuwa ni wanajeshi utalitoa tu
Mfano wako hata hauendani? Hivi kuna haki bila wajibu?
Hujui haki zako ndio maana kazi kuishabikia ccm na siku wakiomba jicho kwa kuwa ni wanajeshi utalitoa tu
Mwanajeshi anapata wapi mamlaka ya kutoa adhabu kwa raia. Hii ni kinyume cha sheria na kujichukulia sheria mkononi
Mbona mashuleni tulikuwa tunafanya kama hivyo kwa amri ya waalim au viranja na hamsemi itakuwa huyo mtu mzima?
Au nyie wengine ndio mliosma zile shule za walaini.
Ulizeni walipita Mazengo enzi hizo,Tabora Boys au Tosamanganga shule za kigum
Anastahili kufanyishwa mazoezi ya lazima huyo
Kumbe JF kuna majambazi na matpeli,duhh
we nani kakwambia Jeshini kuna sheria na yeye huyo Raia anapata wapi kuvaa sare amabayo ilishatangazwa na kujulikana kama ni ya jeshi
Hata kama jeshini hakuna sheria kwa mujibu wa kichwa chako kibovu kwani huyo raia alikutwa jeshini?
Kwa hiyo jeshini ruksa kubaka eh? Si unasema hakuna sheria humo?
mkuu unafaa sana kuwa mtetezi wa haki za binadamu.nakupa like kama buku hivi,nakuomba tu mkuu tafuta na wewe sare za jeshi(kama huna),vaa katiza mitaa na uingie kwenye kumi na saba...nadhani utaweza sana kutetea unchotetea.usikalie tu kubwabwaja humu jf.vaa kombati ingia kitaa.usisahu ipad yako au simu yako kwa ajili ya kuturushia updates ukiwa ndani ya 18 za wazee wa sumu.nadhani utakuwa mtetezi mzuri sana baada ya hapo.
kila la kheri mkuu,nasubiri updates
Kama ndo hivyo basi mkome kabisa katika nchi hii kuwabughudhi wale wote wanaopindisha sheria.
Otherwise, sheria hazijawekwa ili zipindishwe ili sheria nyingine iweze kufuatwa.
Kama ingekuwa hivyo basi hata huyo aliyepigwa mbizi angekuwa na haki ya kupindisha hilo katazo ili afuate haki yake ya kuvaa.
Hiyo ni torture na sheria hairuhusu kitu kama hicho japokuwa Tanzania ni baadhi ya nchi chache sana duniani zilizokataa kutia saini the Convention against Torture etc.
Ndo maana kwenye nchi hii watu wanakuwa tortured and treated inhumanly. Juzi tuu hapa watu wamelalamika kuwa waliingizwa mijiti kwenye sehemu zao za siri wakiwa selo. Unaunga mkono hayo matendo?
Kwa hiyo badala ya kutafuta solution to address the root cause ya tatizo unapindisha sheria mwanaharamu apite?
Sheria ndo inayotoa adhabu za hapo kwa hapo na siyo mtu kujiamulia tuu.
Nipe sheria inayompa mwanajeshi mamlaka ya kumpa raia adhabu ya kupiga mbizi kwenye maji machafu kwa kosa la kuvaa nguo zinazofanana na sare za jeshi.
Mnachojaribu kufanya hapa kuadvocate watu wachukue sheria mkononi. Lakini hamjui madhara yake kwa sababu hayajawahi kukukuta.
Halafu huyo mjeda kampiga mbizi jamaa na kumwachia vipi kama alikuwa shushu wa nje, si ataingia kitaa na kuendelea na ushushu wake?
tena watu wa ajabu kabisa ...tatizo lao kuburuzwa kwao kule kuna wafanya na wao waje onea uraiani ngoja hyo komando wao aonje cha moto, alafu hawakomi kabisa tabia zao za kijingaa...ni bora wangetoaaa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa ni marufuku kuvaaa nguo zilizo fanana na zao tujue moja
mkuu unafaa sana kuwa mtetezi wa haki za binadamu.nakupa like kama buku hivi,nakuomba tu mkuu tafuta na wewe sare za jeshi(kama huna),vaa katiza mitaa na uingie kwenye kumi na saba...nadhani utaweza sana kutetea unchotetea.usikalie tu kubwabwaja humu jf.vaa kombati ingia kitaa.usisahu ipad yako au simu yako kwa ajili ya kuturushia updates ukiwa ndani ya 18 za wazee wa sumu.nadhani utakuwa mtetezi mzuri sana baada ya hapo.
kila la kheri mkuu,nasubiri updates
Hujanielewa tu,huyo mvaaji wa nguo unaona kafanya sawa ila mwanajeshi ndo kakosea? Dawa ya moto ni moto
Kwa hiyo unanishauri nivae sare za jeshi kinyume na sheria? Unanishauri nivunje sheria?
Kichwa kingine cha panzi.
Mbona mashuleni tulikuwa tunafanya kama hivyo kwa amri ya waalim au viranja na hamsemi itakuwa huyo mtu mzima?
Au nyie wengine ndio mliosma zile shule za walaini.
Ulizeni walipita Mazengo enzi hizo,Tabora Boys au Tosamanganga shule za kigum
Anastahili kufanyishwa mazoezi ya lazima huyo
Kumbe JF kuna majambazi na matpeli,duhh
Usione anaongea hapa,ni kawaida katika jamii kuwepo watu wa kuwapump wenzao wavae sare halafu wao hata chupi tu yenye rangi ya nguo za jeshi wanaogopa kuvaa.Wapo sana hawa watu.Nakumbuka sana maisha ya seminarini mashabiki kama huyu jamaa walikwepo lakini utendaji sifuri.Tunamsubiri yeye akaapply hiyo sheria tuone.
mkuu unafaa sana kuwa mtetezi wa haki za binadamu.nakupa like kama buku hivi,nakuomba tu mkuu tafuta na wewe sare za jeshi(kama huna),vaa katiza mitaa na uingie kwenye kumi na saba...nadhani utaweza sana kutetea unchotetea.usikalie tu kubwabwaja humu jf.vaa kombati ingia kitaa.usisahu ipad yako au simu yako kwa ajili ya kuturushia updates ukiwa ndani ya 18 za wazee wa sumu.nadhani utakuwa mtetezi mzuri sana baada ya hapo.
kila la kheri mkuu,nasubiri updates
Ila kweli itabidi afanye hivyo
Kwa hiyo unanishauri nivae sare za jeshi kinyume na sheria? Unanishauri nivunje sheria?
Kichwa kingine cha panzi.
watoe taarifa mara ngapi?
ishakatazwa sana. tatizo watu wanajifanya kiburi. Habari inaingia sikio la kushoto inatokea sikio la kulia.
Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, sasa ndo unagundua kuwa ni kuvunja sheria