Anti Virus Mixtape Vol II Ipo Leak!

suma G katisha sana kuanzia flow mpaka lyrics!k na dotto wanangu enzi za maconcert bills na DI from disease family,urtful dodgers mpaka mapacha!respect wana!
 
Sasa mbona wote hao hawajui mziki...sugu mwnyewe anachana km anasoma gazet la tz daima!!!

We unajua nini kuhusu Music? Unajua nini kuhusu rap? unajua nini kuhusu Hiphop? Hebu fafanua... alitakiwa achanaje Sugu ili useme kachana?
Nisaidie Mkuu!
 
suma G katisha sana kuanzia flow mpaka lyrics!k na dotto wanangu enzi za maconcert bills na DI from disease family,urtful dodgers mpaka mapacha!respect wana!

Mkuu hapo kwenye red umenikuna sana....
Kipindi hicho mapacha wametoka Arusha, wakaunganisha nguvu na vijana wa pale kwa MasterJ!
Hapo tunamzungumzia Fid Q, Mapacha wenyewe (Dr K na Dotto), Squeezer, BiG 4 the Geez ( Geez Mabovu)
J murder...... hizo zilikuwa zama za "vita baridi"..... kwenye zama hizo hiphop ilikuwa kileleni bongo
.
Bila kusahau Prof Ludigo ndio alisimamia kazi zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom