ANTI Virus bora

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
kespersky imeenea sana,

wengine wanaisifu sana microsoft inernet security. sioni cha maana

Macfee ni nzito sana kwa vikomputer vyetu vya kimasikini,

Niamani sana avast package kamili, sio ya mtaani. pamoja na shida zake

nifumbueni, ni ipi anti virus bora zaidi

asanteni
 
me naitumia avast tang mwaka juz ili mrad uwe na key zake na upadate, ni rahis na ina power saana hasa kw virus kama win32: vitro na sality, pia ni simple to updates na inascan booting ability, cha kuzingatia ni:
1. Usiiweka kama pc yako ishakuwa affected na virus,ita delete affected folders na window ita kufa.
2. Hakikisha una iregister.
 
antivirus zote ni kama dawa za kawaida tu za binadamu..si kila dawa ni kamili ndo mana hata hospital daktari anaweza kukuandikia dozi ikashindwa then akakubadilidhia dozi na ni jambo la kawaida sana kukuta ugonjwa mmoja una dawa zaidi ya moja...cha muhimu ni kujitunza ili usipatwe na magonjwa kirahisi(usafi)..na pc hivyo hivyo...HAMNA ANTIVIRUS ILIYO 100% PERFECT...kilamoja ina eneo lake la kujidai na mapungufu yake..anaweza akaingia virus ukahangaika kumtoa na antivirus moja lakini ukakuta nyingine inamtoa ki rahisi tu..njia nzuri ya kuilinda na pc yako ni kuikinga pc yako na mazingira ya kuweza kupata virus, si kwasababu eti antivirus uliyoweka imesifiwa ni nzuri basi na wewe unajiachia tu kula mtu akija kwenye pc yako anatumbukiza tu flash yake, unakuta hata pc yenyewe huijali..vumbi limejaa, unaigongagonga ovyo, screen imechubuka na mialama ya vidole kibao..au unaenda online hadi browser inadetect danger we unaforce tu kuingia...love your pc keep it safe...thats the only best antivirus you can have! otherwise there would be only one antivirus available to day..but because they are not strong enough..thats why they are many and now....you are confused which one to trust!! KAZI NI KWAKO...
 
Naam mkubwa, umemaliza kila kitu. Maana naona siku hizi kila mtu anasifia antivirus anayotumia. Lakini ukweli ni kwamba hakuna antivirus ambayo ni 100% perfect. Watu wanaibiwa tu. Ndio maana mimi siwezi kutoa hata sent 5 kununua antivirus dukani. Mimi huwa nacheza na torrent tu. Kwenye maktaba yangu kuna rundo la madudu hayo.
 
ant virus nzuri ni kutoruhusu flash za watu kwenye pc yako na kila kitu kudownload internet kwenye site zilizo trusted
 
Back
Top Bottom