- Thread starter
- #41
hapana, lkn kama kutakuwa na dalili za kuwangamiza, YES wakimbie.Kwa hiyo mnashauri God bless Lema akimbie tena?
hapana, lkn kama kutakuwa na dalili za kuwangamiza, YES wakimbie.Kwa hiyo mnashauri God bless Lema akimbie tena?
Hakuna kisicho na mwisho..Kwa system iliyopo Tanzania ni ngumu Chama cha Upinzani kupewa Nchi, kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya CCM na Serikali.
Utawala huu wa uovu hautaondoka Kwa mfumo wa uchaguzi. Haya ya utatu yasikusumbue ndugu Grahams.Kuna utatu mkubwa kati ya Chama na Serikali kuanzia DED, DSO, DC, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Polisi n.k, Hawa kwa sehemu kubwa ndiyo wapanga mipango ya nani awe Diwani, Mbunge ama Rais wa Nchi.
Mkuu ni ombi la kila mtu ila kwa jinsi utatu huo unavyofanya kazi sioni kama jambo hilo litatokea leo ama kesho, labda kama itapitishwa Katiba Mpya ambayo kimsingi Viongozi waliopo hawaitaki.Hakuna kisicho na mwisho..
Kama Roman Empire na utawala wa Farao wa Misri ya kale vilianguka na kutoweka, CCM ni kitu gani bwana?
Yaani Mimi nacheka tu Kwa sababu ni wazi kuwa mwisho wao umefika..!!
Very soon, CCM na serikali yake unazosema zimeungana, hakika zitaanguka kwa kishindo kikuu na watu wengi hawataamini macho na masikio yao!!
Hii desperation ya CCM na serikali itoshe kumpa kila mtu kuona kuwa hii ndio ishara ya anguko lao..
Ni kawaida ya binadamu wasio na imani inayoona kutoamini mpaka waone. Nawe u mmoja wao bila shaka.Mkuu ni ombi la kila mtu ila kwa jinsi utatu huo unavyofanya kazi sioni kama jambo hilo litatokea leo ama kesho,
Mungu hatumii silaha hii. Njia zake kamwe sio kama zetu wanadamu. Je, kuna jambo ngumu lolote la kumshinda bwana Mungu muumba wa mbingu na nchi??labda kama itapitishwa Katiba Mpya ambayo kimsingi Viongozi waliopo hawaitaki.
Wewe ndiye unayefikiri kwa masafa haya. Mimi siko huko. Mimi naamini hili. Njia za Mungu ni zaidi ya njia zetu. Aweza kutenda mambo makuu ambayo jicho halijawahi kuyaona wala sikio halijawahi kuyasikia. USIOGOPE ndugu GrahamsWe hujiulizi kwanini kwenye Taaluma nyingine kupanda vyeo, inategemea Elimu, Umri wako kazini n,k lakini kwakutumia madaraka yake Mhe. Rais ndiyo anateua Wakuu wote wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama?
Wewe ndivyo unavyoona na kuamini, siyo? Nikutoe hofu tena kwa kukuambia, USIOGOPE, Mungu anadhibiti kila kitu Kwa sasa..!Kiongozi hili jambo ni gumu sana kama ngamia kupenya kwenye tundu la Sindano
Umezaliwa lini? nadhani juzi
Sawa mkufunziUkipata habari Kwa Mfano, watu wabaya wameteka family Yako Ukiwa kazini,
Hutoacha KAZI na kukimbilia eneo la tukio kuwaokoa?
Picha hiyo hiyo iweke juu ya nchi Yako na Taifa,
Kama ubaya unaingia, unaona na kukaa kimya, kama Si mbinafsi, ni mwoga au fisadi au adui from within!!
Usisubiri waje kuidhuru family Yako, wazuie katika malango ya nchi Kwa Kila uwezalo!!!
Madhara ya watoto wa kiume kulelewa na mama zao bila baba ni makubwa ktk Taifa.
Na Haina ubaya kumuamsha wifeNdo ninyi mkitaka Kutoka nje usiku mnawaamsha wake zenu wawasindikize.
Niko Nanjilinji huku hamna Habari MaelezoNaona wewe ni verified user....basi nategemea uitishe press conference ute tamko kali la bandari condemning Sami and her gang for what they have done au vipi Bujibuji?
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.
Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia! This is debatable, highly debatable
Msikllize Ansbert ngurumo
View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
Mkuu sikupingi ila na tofautia nawe kuhusu uwezo wa Mungu kwa Watanzania, seems haoni anatutesa kutuletea Viongozi wasiojalia maslahi ya Raia wake isipokuwa yao binafsi.Ni kawaida ya binadamu wasio na imani inayoona kutoamini mpaka waone. Nawe u mmoja wao bila shaka.
Nakuhakikishia kuwa utaona hili likitokea si muda mrefu. Mr Grahams, Mungu anataka kujitukuza ktk Tanzania. Ni wakati wake sasa kumwonesha kila Mtanzania kuwa yeye ndiye mwenye Tanzania na watu wake..
Mungu hatumii silaha hii. Njia zake kamwe sio kama zetu wanadamu. Je, kuna jambo ngumu lolote la kumshinda bwana Mungu muumba wa mbingu na nchi??
Wewe ndiye unayefikiri kwa masafa haya. Mimi siko huko. Mimi naamini hili. Njia za Mungu ni zaidi ya njia zetu. Aweza kutenda mambo makuu ambayo jicho halijawahi kuyaona wala sikio halijawahi kuyasikia. USIOGOPE ndugu Grahams
Wewe ndivyo unavyoona na kuamini, siyo? Nikutoe hofu tena kwa kukuambia, USIOGOPE, Mungu anadhibiti kila kitu Kwa sasa..!
Kwa Mungu hakuna jambo gumu la kumshinda. Ni kuamini na kuchukua hatua tu zilizo ndani ya uwezo wetu. Yaliyo nje ya uwezo wetu, Mungu anasema mimi (yaani yeye) atafanya!!
Sawa keyboard worries,Ikiwa heroes watakimbia, nani aongize Mapambano?
Kama ni mbwa Koko, watie haraka mikia Yao kunako walaze mshale!!
Lakini Farasi kamwe hajawahi kukimbia vita, akinusa harufu au kusikia kelele za vita na sauti za Mapambano huinua KICHWA na kuelekea huko Kwa Kasi!!
TUNAPAMBANA UNADHANI NI HAPA TU...............Nimezaliwa juzi Kama ulivodhani..Sasa acha kujificha kwenye keyboard..jitokeze mpambanie live kamanda
Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatavunja huu mfumo CCM.Kwa system iliyopo Tanzania ni ngumu Chama cha Upinzani kupewa Nchi, kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya CCM na Serikali.
Kuna utatu mkubwa kati ya Chama na Serikali kuanzia DED, DSO, DC, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Polisi n.k, Hawa kwa sehemu kubwa ndiyo wapanga mipango ya nani awe Diwani, Mbunge ama Rais wa Nchi.
Jeshi hili hili linaloteuliwa Mkuu wake na Rais au lingine?Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatavunja huu mfumo CCM.
Ndivyo ilivyo🪑Kwa mantiki hiyo ni kuwa CCM will never accept defeat in elections to come, maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi, ataundiwa mahakama ya kijeshi au special court kwa ajili yake tu na wale waliojiwekea kinga ya kutoshitakiwa.
Usitegemee walioko ngazi za juu kupindua. Vyeo vya chini ndio hufanya kazi hiyo.Jeshi hili hili linaloteuliwa Mkuu wake na Rais au lingine?
Tanzania bado sana 😢
Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.
Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia! This is debatable, highly debatable
Msikllize Ansbert ngurumo
View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
Huenda but sina imani naoUsitegemee walioko ngazi za juu kupindua. Vyeo vya chini ndio hufanya kazi hiyo.