Ansbert Ngurumo: Swala na Tembo waanze kushituka na kukimbia

Tz tumefikia pahali mabaya sana!
Sijui kwanini wamemfikisha mama yetu SSH ktk hali hii!
Makuwadi wa raslimali za Taifa ndio chanzo cha yote haya!
Tumefikia mahali ambapo WAHAINI wa kuiba raslimali za Taifa ndio wanaita wazalendo na watetezi wa raslimali za Taifa WAHAINI
 
Kama huwezi kuchambua fumbo linalojieleza je lililofichama utaweza? Waliolengwa hapo sio kina mbowe ni hao viongozi wa CCM na wengine Kama wewe mnaodhani hammo wakiwamaliza akina mbuzi watawafuata nyie kina swala na tembo.
Nani atasimama na Mzee Warioba, Shivji ikiwa wataamua kukimbia?

Twendeni tukayafurikishe magereza na cello!!!
 
Kwa system iliyopo Tanzania ni ngumu Chama cha Upinzani kupewa Nchi, kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya CCM na Serikali.

Kuna utatu mkubwa kati ya Chama na Serikali kuanzia DED, DSO, DC, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Polisi n.k, Hawa kwa sehemu kubwa ndiyo wapanga mipango ya nani awe Diwani, Mbunge ama Rais wa Nchi.
zambia was experiencing the same scenario,, but....
 
Kama huwezi kuchambua fumbo linalojieleza je lililofichama utaweza? Waliolengwa hapo sio kina mbowe ni hao viongozi wa CCM na wengine Kama wewe mnaodhani hammo wakiwamaliza akina mbuzi watawafuata nyie kina swala na tembo.
Msikilize vizuri Ngurumo, wale wa ccm wanahusikaje na kukimbia wakati ndio watenda maovu kwa slaa et al
 
Mbowe na Lissu ni SIMBA wale, mlio wa Risasi haitoshi kutafanya waingie uvunguni!!!

Heroes dies in battle field, MASHUJAA wengine huibuka na kuendeleza Mapambano Hadi ushindi.

Heroes hukwepa Mishale, ukiona hero anatia mkia makalioni na kurudi nyuma Si HERO huyo!!!
Rahisi Sana kusema...
 
Rahisi Sana kusema...
Ukipata habari Kwa Mfano, watu wabaya wameteka family Yako Ukiwa kazini,

Hutoacha KAZI na kukimbilia eneo la tukio kuwaokoa?

Picha hiyo hiyo iweke juu ya nchi Yako na Taifa,

Kama ubaya unaingia, unaona na kukaa kimya, kama Si mbinafsi, ni mwoga au fisadi au adui from within!!

Usisubiri waje kuidhuru family Yako, wazuie katika malango ya nchi Kwa Kila uwezalo!!!

Madhara ya watoto wa kiume kulelewa na mama zao bila baba ni makubwa ktk Taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom