Another 'victim'? Malegesi Adaiwa Kunyeshwa Sumu

Mtanzania,
Soma tena ile ripoti aliyoileta Mafuchila. Maregesi hajasema kuwa amekula sumu. Aliyesema hayo ni daktari. Au daktari huyo naye yumo kwenye conspiracy za akina Balali na Maregesi?

....Hivi anayetakiwa ku-qualify kuwa kilichoonekana ni sumu ni nani.....?.....nafikiri initial investigation za daktari zaweza ku-indicate kuwa kile walichokutana nacho ni sumu......au?

....swali lako la kumjua daktari ni muhimu sana.....
 
so malegesi amefikia wapi, keshatoka hospitali au kesharushwa kwenda kwenye matibabu huko "boston"?
 
Watanzania endeleeni tu kudanganywa, hii ni sinema part II baada ya ile ya Ballali.

Toka lini uliona hata mtu aliyekufa bado inaogopwa hata kutajwa hospitali alikofia?
mpaka leo najiuliza wee nakosa jibu
 
so malegesi amefikia wapi, keshatoka hospitali au kesharushwa kwenda kwenye matibabu huko "boston"?

Boston...!!! nimekupata mkuu. Huko ndiko mwanzo wa mwisho wa hizi hadithi za EPA zinakoishiaga. Msalimie ukimuona huko, lakini mwambie wanaorudi salama kutoka Boston sio majeruhi wanaoenda kwa ajili ya matibabu.
 
Mtanzania,
Soma tena ile ripoti aliyoileta Mafuchila. Maregesi hajasema kuwa amekula sumu. Aliyesema hayo ni daktari. Au daktari huyo naye yumo kwenye conspiracy za akina Balali na Maregesi?

Mkuu Jasusi,

Toka lini daktari akaruhusiwa kutoa taarifa za mgonjwa bila ya idhini ya mgonjwa mwenyewe?

Sinema ni lile lile kuvujisha kidogo kidogo habari za uongo ili kuwadanganya Watanzania.

Muda wote hata wakati wa Ballali, yeye hazungumzi kitu, wapambe ndio wanatumwa kuja kutudanganya. Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua.

Tumesikia mengi, mara dada za marehemu kusema yote, mara Ballali kaache video, mara sumu Dodoma, mara kafa huko Boston, mara alianza kupona mpaka alipotembelewa na RO, mara alitibiwa SA, mara upupu mtupu.

Jamani si tuacheni Watanzania? Waibe pesa za maskini halafu waendelee kuwadanganya hao maskini?

Malegesi kama kanywa sumu ambayo hajui imetoka wapi, aende kituo cha polisi kutoa habari ili wachunguze.

Baadaye tutasikia na yeye kafa na hakuna kuona maiti. Upuzi mtupu!
 
Malegesi adaiwa kula kitu chenye sumu

2009-02-08 11:03:00
Na Mwandishi Wetu

Mmoja wa watu muhimu anayeaminika kubeba siri nzito juu ya mmiliki halisi wa kampuni tata ya Kagoda, inayodaiwa kuchota Sh bilioni 40 kwenye akunti ya EPA, amelazwa katika Hospitali ya Mikocheni, jijini Dar es Salaam, tangu Januari 26 mwaka huu, baada ya kula kitu kinachodaiwa kutiwa sumu.

Huyu si mwingine bali ni Mwanasheria wa Jijini Dar es Salaam, Bered Malegesi (31), ambaye kampuni yake ilitoa mchango mkubwa katika kuzisajili baadhi ya kampuni zilizochota mabilioni ya fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA)..............

* SOURCE: Nipashe

Jamani nisaidieni huyu Bered Malegesi ni yule niliyemaliza nae Iliboru High School Arusha mwaka 1988, kisha tukawa wote chuo kikuu yeye akisoma sheria????????
Kama ni yeye mbona umri wake siyo sahihi, kama sisi yeye basi kijana wa miaka 31 amefanya ufisadi namna hii inatisha
 
ndiye huyo huyo.. ila wakati mkiwa Ilboru labda hakuwa na dalili za ufisadi.. what about Chuo Kikuu?
 
ndiye huyo huyo.. ila wakati mkiwa Ilboru labda hakuwa na dalili za ufisadi.. what about Chuo Kikuu?

Mkuu alikuwa ni mtu aliyekuwa anatamani kuwa na maisha ya hali ya juu lakini sikutegemea kama atakuwa katika hali hii. mara ya mwisho nilimwona bongo akiendesha range rover VOGUE mpya, sikumfikiria katika mambo ya EPA. I AM SHOCKED IF IT TRUE ON HIS INVOLVEMENT AND RELATIONSHIP WITH BALLALI
 
Mkuu Jasusi,

Toka lini daktari akaruhusiwa kutoa taarifa za mgonjwa bila ya idhini ya mgonjwa mwenyewe?

Sinema ni lile lile kuvujisha kidogo kidogo habari za uongo ili kuwadanganya Watanzania.

Muda wote hata wakati wa Ballali, yeye hazungumzi kitu, wapambe ndio wanatumwa kuja kutudanganya. Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu hung'amua.

Tumesikia mengi, mara dada za marehemu kusema yote, mara Ballali kaache video, mara sumu Dodoma, mara kafa huko Boston, mara alianza kupona mpaka alipotembelewa na RO, mara alitibiwa SA, mara upupu mtupu.

Jamani si tuacheni Watanzania? Waibe pesa za maskini halafu waendelee kuwadanganya hao maskini?

Malegesi kama kanywa sumu ambayo hajui imetoka wapi, aende kituo cha polisi kutoa habari ili wachunguze.

Baadaye tutasikia na yeye kafa na hakuna kuona maiti. Upuzi mtupu!
Anyway ni upuuzi kwako lakini kwake ni matter of life. Kwani ni yeye kavujishia hizo habari? Mwulize mwandishi wa makala aliyoileta Mafuchila kazipata wapi hizo habari. And for your info marehemu Balali hakuwa na wapambe hapa. Niliwahi kusema I am not speaking for his behalf lakini kama mshiriki wa JF singeweza kuvumilia uzushi ulioandikwa humu bila kutoa comment. I stand by my statements on Balali 100% and only time will tell nani alisema ukweli. Mungu yupo.
 
Mkuu alikuwa ni mtu aliyekuwa anatamani kuwa na maisha ya hali ya juu lakini sikutegemea kama atakuwa katika hali hii. mara ya mwisho nilimwona bongo akiendesha range rover VOGUE mpya, sikumfikiria katika mambo ya EPA. I AM SHOCKED IF IT TRUE ON HIS INVOLVEMENT AND RELATIONSHIP WITH BALLALI

Mkuu Boma,

Sio Ballali tu bali hata waziri mkuu wa ufisadi Lowassa, naye alikuwa mtu wake wa karibu.

Huyu si ndiye alikuwa anakula ndafu na Lowassa na kutoa pesa kibao kama michango, kumbe pesa zote kachota BOT.

Wasomi wameshageuka vibaka, sasa wanatgaka kugeuka tena na kuwa wasanii, wafie mbali huko.
 
Mi nafikiri afe tu!!!!hatuitaji ushahidi wowote waliohusika wote wafe!!!
Watamalizana wenyewe,waacheni wafu wazike wafu wao!!!
 
LOL. Malegesi hakupata hela nyingi EPA. Kwake hela zilipita tu alipata kidogo ndo maana aliandika barua kama watampeleka mahakamani basi ataanika uozo wote. Ndo maana hujasikia amefikishwa mahakamani.

Kesi ya EPA ni ngumu, ni zile kampuni ambazo hazikuhusisha WAZEE ndio zipo mahakamani. Kwingine hela zilipopita bila wenyewe kufaidi vizuri wapo salama. Malegsi akiwa mmoja wao.

Jamaa anaendelea vizuri
 
- It makes a lot of sense!
 
basi waliopelekwa mahakamani nao wajinga... kwa nini satishie... ili mchzo unoge??
 
Watanzania wenzangu mafisadi wataendelea kupeta Tanzania until we start seeing beyond crime dramas and movies. THOSE THINGS HAPPEN IN REAL LIFE …

Lets be honest here. Malegesi kama anajua mtu aliyempa sumu do u really think atawaambia police or any Tanzanian National Security body. Hii corruption ya Tanzania unafikiri mafisadi hawana watu wao huko.

Mafisadi wataendelea kuwauwa kwa njia mbalimbali watu ambao wanaonekana kujua siri zao au anaye tishia kufichua siri zao knowing kabisa Tanzania public ni wajinga kubelieve kwamba ni michezo ya kuigiza. Just like walivyomtoa Balali roho harafu wananchi wanajua ni mchezo wa Balali. Watu wangapi wataendelea kufa na kupewa sumu ndipo tutaamini?

Watanzania Open your eyes.. Instead ya kupiga kelele ni michezo ya kuigiza tuanze kuwakandamiza serikali watueleze kwanini Balali and Malegesi ( na wale ambao hawako kwenye public eyes) walipewa sumu etc. Tutumie wabunge tunaowaamini kama Dr Slaa and Kobwe waturepresent kwenye bunge.

This is democratic country and we should practise that democracy… even we should start having an anonymous voting system that Tanzanian citizen can use to vote which topic the parliament should discuss and it should be controlled by opposition parties. Not Sitta ndio achague ipi ya kudiscuss bungeni and ipi sio ya kudiscuss.. THIS IS WHAT DEMOCRACY IS NOT WHAT IS PRACTICE AT THE MOMENT
 
- Halafu Mkulu Jasusi, hivi unajua kua last two weeks mafisadi wote wakubwa walikuwa wamekusanyika DC? Kuanzia Lowassa mpaka RA je ulizipata hizo mkuu wangu?

- Sasa walikuwa wanatafuta nini? Na why DC?

Plotting another assassination............................
 
Back
Top Bottom