Ndio ajira yao na wanalipwa pesa ndefu. Hii Dunia haina usawa wakati wengine wana hofu ya Mungu kuna wengine wanakaimu nafasi ya Israel mtoa roho.Anaowatuma kuua watu ndiyo wajinga zaidi
Una uhakika kuwa wanasingiziwa? Mbona hausingiziwi wewe na ndugu zako?Ndio mnawasingizia ushoga kwa kuwa ni maarufu? Je unajua fedheha ya ushoga wewe?
Yule ni dikteta haswaNdio ajira yao na wanalipwa pesa ndefu. Hii Dunia haina usawa wakati wengine wana hofu ya Mungu kuna wengine wanakaimu nafasi ya Israel mtoa roho.
Wapinzani nao ni ndugu na ni haki yaoUtamuuaje Kagame bila wewe kufa pia?😂 Hilo ni fumbo kubwa sana ila pia huenda raia hawana shida nae ila wapinzani ndio wanaipata pata.
Du kumbe ni hatari hivyo?Ni kweli kabisa unachosema.
Mgeni ukifika Rwanda kuna Polisi wa Siri, wenyewe Wanyarwanda wanawaita kwa jina la kifupi SEPO (yaani Secret Police Officer) ambao wanakufuatilia kila mahali unapokwenda ili kujua kwamba umeenda kufanya nini huko. Wanataka kujua kwamba unajihusisha na siasa za kumkosoa Paul Kagame au la.
East Africa ni kama imelaaniwa yote ukitoa KenyaMadini ya Kongo yamemfanya Kagame awe mtu hatari sana. Laiti Kongo ingekuwa na serikali thabiti; ndiyo madhara ya kuwa na viongozi wabinafsi kama Mobutu. Aliua nchi nzima na sasa raslimali zake zinaliwa na Kagame.
Swali zuri haswaMbona Hamas hawataki kuheshimu mamlaka ya Israel??
Kagame ni TerroristJe, Unamfahamu vizuri Paul Kagame pamoja na mitandao yake ya kuwaangamiza Wapinzani wake hata wale waliopo nje ya Taifa hilo la Rwanda????
Ukiwa Rwanda usithubutu kumsema vibaya Paul Kagame.To be in the safe side, yaani unatakiwa kuacha kabisa kumzungumzia Paul Kagame au utawala wake, kwa sababu kufanya hivyo ni kujikatia tiketi ya kifo. Hali kama hiyo pia ipo sana katika nchi ya Zimbabwe, hususani kwenye miji mikubwa kama vile Harare na Bulawayo. Hali ilikuwa mbaya zaidi wakati ule wa utawala wa Rais Robert Mugabe, maiti za watu wakosoaji wa utawala wa Bw. Robert Mugabe zilikuwa zinaokotwa mitaani karibu kila siku hali ambayo ilisababisha wananchi wengi kuitoroka nchi hiyo ya Zimbabwe na kukimbilia nchi jirani ya Afrika ya Kusini.Du kumbe ni hatari hivyo?
Viongozi Africa 96% wamelaaniwa na MUNGU ndiyo maana hatuendeleiUkiwa Rwanda usithubutu kumsema vibaya Paul Kagame.To be in the safe side, yaani unatakiwa kuacha kabisa kumzungumzia Paul Kagame au utawala wake, kwa sababu kufanya hivyo ni kujikatia tiketi ya kifo. Hali kama hiyo pia ipo sana katika nchi ya Zimbabwe, hususani kwenye miji mikubwa kama vile Harare na Bulawayo. Hali ilikuwa mbaya zaidi wakati ule wa utawala wa Rais Robert Mugabe, maiti za watu wakosoaji wa utawala wa Bw. Robert Mugabe zilikuwa zinaokotwa mitaani karibu kila siku hali ambayo ilisababisha wananchi wengi kuitoroka nchi hiyo ya Zimbabwe na kukimbilia nchi jirani ya Afrika ya Kusini.
Dah a what beautiful ladyInaaminika huyu Mdada ambaye ni mpinzani wa Kagame,tiyali Kagame kaisha fanya yake.
Inasikitisha sana kwa kweli,Dah Kagame mwisho wake utakujaga kuwa mbaya sana.View attachment 2856258View attachment 2856259
Hii inaapply kwa Rwanda tu au hata kwetu?Kawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Kote kote mtu kashakatwa jina hukoHii inaapply kwa Rwanda tu au hata kwetu?
Hii inaapply kwa Rwanda tu au hata kwetu?
Hivi ni nani hasa ambaye huwa analeta hofu katika nchi? Watawala au watawaliwa??Kote kote mtu kashakatwa jina huko
Na wewe unayefinya wengine nawe siku yako ipo nawe utafinywa na wengine au Mungu na mwisho wa siku pia maisha yataendelea vilevile.Kawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.