Mikutano ya chadema ni muhimu kunusuru hiki chama cha edwin mtei maana kinakwenda kuungana na tlp na nccr mageuzi. Juzi shibuda katufungua macho kuwa kimejaa ukabila na ubaguzi ambao sisi wa tanzania kamwe hatuwezi kupoteza muda na hawa jamaa wenye meno ya kukaanga. Kila kona ni mushi munishi ndesamburo, lyimo reginarld, kwayu kiwia kitila mkumbo
Mkuu William, ulijuaje kama ametumwa na sio mawazo yake!
maskini william, kumbe kwenye kupashana na wewe humo. nilitegemea unyamaze kimya,kama mtu mwenye busara. kweli hufai kuwa kiongozi. pole sana ndugu.
bado nayafanyia utafiti maneno yako ili nichague kundi la kukuweka.- Ha! ha! ha! ha! huwa sisikilizi maushauri ya kunitaka niwe muoga muoga kama fisi, sikuogopa bahari bro miaka sita baharini, nimevuka Bermuda Triangle mara 3, mahali ambapo mabaharia huacha kazi wakisikia meli itaenda kupita hapo! - Ninachosema humu JF, au mahali popote pale ndicho ninachokiamini, AND THAT IS ME, TAKE IT OR LEAVE IT kwangu mwendo ni mdundo sana mpaka kelewekes, nimesema huu mjadala ni tooo lowa kwangu hauna tija, sio Chadema wala mafisadi wanaoweza kumshinda kwa kura Mbunge wa sasa wa Same East, ningeamini otherwise ungeniona kwenye huu mjadala in full kama kawaida yangu! - SIKU NJEMA SANA L;EO NIPO HUKU MBEZI BEACH KIKAZI ZAIDI! William.
sina hata hayo mawazo ..kwanza familia yenyewe sina hadi sasa hivi siasa nitaziewea wapi ...hapa tunaongea ukweli tu hakuna mtu mwemye nia ya kugombea ubunhge hapa ..mpelekee mama yako ujumbe kuwa wananchi wake tumeamabka na akija kutudanganya tena lazima tumpige maye@Saint Ivuga hata kama una nia ya kuwania ubunge katika jimbo la huyu mama usimwandike vibaya hivyo; hakuna mtu anayejifanya kulia ila ukikuta watu wanalia inatokea tuu na wewe unaanza kulia...hii ni kawaida sana kwa kina mama. Sisi kina baba huwa tunabaki na machungu moyoni wakati wenzetu machozi yanatoka yanaisha.
nakumbuka Masha alishasema kuwa yeye anapita bila kupingwa ..akadondokea pua ..naoan huyu mama anafuata nyendo za LauHiyo habari kamulize Laurence Masha ,Mongela,Batilda Burianin na JK ndo watakupa stori vizuri upite 2015 mungu akuweke hai ndo utajua habari ya Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr,KOBE WE!
- HA! ha! ha! JF sio mahali pa unyamaza kimyaa, kama unataka kunyamaza kimyaa kaa pembeni waachie wanaoweza kusema wazi kama mimi, ha! ha! ha! ha!
William.
bado nayafanyia utafiti maneno yako ili nichague kundi la kukuweka.
Hamna mkoa ambao hauna mazingira kama haya bongo! tusimlaumu huyu mama buree
nyie ndio watu ambao hatuwataki ..eti kwa sababu dodoma kuna omba omba ndio na sisi nchi nzima tuwe omba omba?
huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma
kuonyesha kibanda cha nyasi sio kwamba yule mama aende akajenge nyumba ya bati bale ..maana yangu ni kuwa afanye juhudi ya kuweza kuinua maisha ya wananchi wa pale ...Kijana nadhani ulikuwa unampa tabu sana mwalimu wako darasani.
Mfano uliotumia wa kibanda cha Nyasi kuonesha hali ngumu ya maisha Same haukuwa sahihi bwana mdogo, kwakuwa nyumba za namna hiyo zipo Jimbo la Arumeru, Karatu, Mbeya, Loliondo,Singida, Kigamboni,Moshi vijijini kwa ufupi ndio hali halisi ya umaskini Tanzania yote, labda kama ungeelekeza lawama kwa Rais wa Jamhuri inge make sense.
Rais wa Jamhuri ndiye mbunge wa Same?......nini maana ya kuwa na mbunge kama kila kitu kitaelekezwa kwa rais wa Jamhuri?.....hatukatai nyumba kama hizo zipo kila mahali Tanzania.....hiyo ya same aloiweka Saint Ivuga ni kwa vile anayejadiliwa hapa ni mbunge wa Same......kwani unadhani hizo nyumba zipo kwa vile wananchi wanazipenda au ni ugumu wa maisha ulosababishwa na serikali iliyoko madarakani kwa miaka 50.....Kijana nadhani ulikuwa unampa tabu sana mwalimu wako darasani.
Mfano uliotumia wa kibanda cha Nyasi kuonesha hali ngumu ya maisha Same haukuwa sahihi bwana mdogo, kwakuwa nyumba za namna hiyo zipo Jimbo la Arumeru, Karatu, Mbeya, Loliondo,Singida, Kigamboni,Moshi vijijini kwa ufupi ndio hali halisi ya umaskini Tanzania yote, labda kama ungeelekeza lawama kwa Rais wa Jamhuri inge make sense.
huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma
Mkuuana akili fupi na ndogo kama za william malecela na dead-man walking john samuel malecela(small letters intended!!!!) na ndio maana wanaelewana sana...akili za mkorogo.