Anne Kilango awavaa CHADEMA...

Sijui hata tukujibu kuanzi wapi!

mmwaisoba

Junior MemberArray

Join Date : 20th May 2012
Posts : 8
Rep Power : 303
Likes Received0
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Re: Anne Kilango awavaa CHADEMA....................... ...[/h]
Wanachadema kubalini tu ukweli unauma. Siasa za majukwaani zinashusha heshima maana watu wanawachoka. Yule pumbua nasari hajathubutu tena kuongea maana akiongea anatoa chemicali za pumba hahahahhhh. Ikulu mtaisikia kwenye luninga.​

  • Jitahidi kupost kadri uwezavyo!

Mama mkwe wangu ana mambo kweli. Ni bora akawapelekea Ikumbo na naki hizo hela tokwa kwa Patel kuliko kuwaacha wanaye wauze vitumbua minnessota. Kale kafupi Ikumbo naye nasikia anataka kuingia siasa baada ya mjamaica wake kafumaniwa akipewa tigo. Siye yetu macho tusubiri tuone. sidhani huyu mama atathubutu kugombe atena kwa maana kashfa za binti zake na zake mwenyewe zitamuandama sana

Aisee Aiseeeeeeeeee!!!!! hii mambo ndo kwanza nasikia.
 
Huyu will malecela yani hajitambui kabisa ze way alivyolibaba jitu zima, juzi nimeingia kwenye blog yake yani ni hatari huyu mtu kuna picha za mabinti za nusu uchi du...! Eti awe kiongozi wetu? Mambo ya kufanyia chumbani yy ndo anayaweka hadharani sasa kiongozi gan huyu!
 
hili jimbo ni tajiri sana ila huyu mama kashindwa kuwainua watu wake chadema msilaze damu

Kusema ukweli wilaya ya Same ina utajiri mkubwa sana, na watu wake ni wachapakazi sana. Miaka ya nyuma walikuwa wanaitwa wachina wa Tanzania. Ukitaka kuuelewa utajiri wa wilaya hii usiangalie chini (bondeni) kama mji wa Same ambao mara nyingi unasumbuliwa na ukame. Hata mji wa Same ukame wake unatokana na kuharibika kwa pump za visima vilivyokuwepo tangu miaka ya 60-70. Maji yapo mengi chini ya ardhi, visima vya kutosheleza upatikanaji wa maji safi na salama vipo, pump zimeharibika na hakuna mwenye mpango wa kuzitengeneza au kufunga pump zingine!

Utajiri wa wilaya ya Same uko milimani, maeneo yote ya juu milimani yana mvua nyingi na rutuba inayoweza kulima au kuotesha mazao mengi kama mahindi, ndizi, mihogo, iliki, tangawizi, kahawa n.k. Wapare walijenga barabara zao kupanda milimani kwa nguvu zao wenyewe, walipasua miamba kwa kuwasha moto kwenye miamba na baadaye kumwagia maji ya baridi. Maji huko milimani ni mengi yanamwagika na kilimo cha umwagiliaji kilikuwa kimeendelea sana miaka ya nyuma. Kuna tabia moja ya wapare nilikuwa ninaipenda na niliona ingefaa kuwa mfano wa kuigwa, ni ile ya kufanya kazi kwa pamoja, wenyewe wanaiita 'msaragambo'. Siku hizi sidhani kama inaendelea. Siku ya 'msaragambo' taarifa ilikuwa inapitishwa vijiji vyote, na kila mtu mwenye nguvu (sio mgonjwa au mzee) alipaswa kushiriki. Ilikuwa ni kujenga shule, kutengeneza barabara, kufyeka misitu n.k.

TATIZO:
Wapare tofauti na watani wao wachagga, ni watu wanoogopa sana mamlaka (authority). Kwa mantiki hiyo, kukiwa na kiongozi mbovu au asiyeweza kuwapa maelekezo yanayofaa, ile ari ya kujituma kufanya kazi inakosa msimamizi. Na hili ndilo lililotokea huko Same, na si Mashariki peke yake, bali hata Same Magharibi kwa mbunge David Mathayo. Shida za maji, ubovu wa barabara, uharibifu wa mazingira, ukame na uhaba wa vyakula vyote sasa vimekuwa hali ya kawaida sana.

Ninaamini majimbo hayo yako wazi kabisa na tayari kwa mabadiliko. CDM amkeni sasa mjizatiti mtaichukua Same yote!

Acheni Mama Kilango aendelee kuota ndoto za Alinacha!
 
William, Anna Kilango ni mama yako? au? sikuelewi maana wewe ni mtetezi waujinga hata kama mtu anatoapumba huangalii maadam anatoka ccm naomba ubadilike. kuna msemo wa wazee kwetu utaona kambare maji yanapojaa mtoni huongozana kufuata maji yanakoenda lakini hatima yake huwa wanabaki kwenye madimbwi na hatimaye kufa au kuvuliwa kwa urahisi ndio ccm itakavyo kuwa. jiepushe na siasa zisieleweka.
 
sio mama yake wala nini huyu willie anaongeza idadi ya post zake tu hapa...hajawahi kwanza hata kukanyaga huku upareni hajui jinsi watu wanavyotaabika kwa sera mbovu za ccm hajui jinsi mama yake wa kambo anavyowadanganya wapare yeye anatetea tu kitulizo cha mshua wake
 
Huyu mama anaenda kwenye misiba kule upareni na kujikusanya na wamama wa kule na kuanza kulia nao ...huu ni ujinga ataliaa wee hapo na ujanja wake ni kupata huruma zao ila wameshamshtukia ...na ndio maana anajishtukia sasa hivi ..abaki zake huko huko mtera
hatuongelei mate picha zipo

View attachment 54880

huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma
 
anasumbuliwa na PMS

Wewe Jaribu kuwa na adabu huyu mama anaweza kuwa umri sawa na mama yako. Tuheshimu wanawake hata kama wanapata PMS lakini bado ni mama zetu, dada zetu shangazi zetu nani wake zetu hivyo vema ukamjadiri mama kilango kwa yale anayofanya na si kwa ajili ya yeye kuwa mwanamke. Tatizo la PMS anaweeza pata hata mama yako lkn hawezi kukuambia.

Angalizo: Tuwe na heshima na tujadili pasi na kutukana na Jamii forum muwe mnaangalia mtu kama huyu kichwa maji
 
Jamii forum si jukwaa la wahuni hatutaki lugha za kihuni, ote kwa yote huyu mama aanze kuaga 2015 haturudi mjengoni kama chama hake....
 
huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma

@Saint Ivuga hata kama una nia ya kuwania ubunge katika jimbo la huyu mama usimwandike vibaya hivyo; hakuna mtu anayejifanya kulia ila ukikuta watu wanalia inatokea tuu na wewe unaanza kulia...hii ni kawaida sana kwa kina mama. Sisi kina baba huwa tunabaki na machungu moyoni wakati wenzetu machozi yanatoka yanaisha.
 
Pole sana Le Mutuz.. Hapa ningekuwa mimi ningekaa hata wiki bila kuingia JF..maana watu wanachambua kila neno uliloandika. Ila inaonekana wewe siasa huiwezi coz unajazba sana. Bora uwe mpole tu kama mimi siasa inawenyewe kaka...
 
Nyamaza wewe manake hujakutana na wasanii, kwa taarifa yako hakuna mama msanii kama Anne Kilango....anajua haswa kucheza na akili za wale wamama wa same, amewapumbaza kwa mda mrefu na wakapumbazika....wacha CDM iwazindue kuwa wako na msanii.......hayo makelele yote anayopiga sasahivi ni woga wa kuhofia mateka wake kufunguliwa manake anajua wakipata elimu hataweza tena kuwafanyia usanii...... viva Chadema!!!!! Endeleeni kutoa elimu ya uraia,,,,hao wasanii wacha wapige kelele......watasema mwishowe watachoka na kukubali!
 
Pole sana Le Mutuz.. Hapa ningekuwa mimi ningekaa hata wiki bila kuingia JF..maana watu wanachambua kila neno uliloandika. Ila inaonekana wewe siasa huiwezi coz unajazba sana. Bora uwe mpole tu kama mimi siasa inawenyewe kaka...

- Ha! ha! ha! ha! huwa sisikilizi maushauri ya kunitaka niwe muoga muoga kama fisi, sikuogopa bahari bro miaka sita baharini, nimevuka Bermuda Triangle mara 3, mahali ambapo mabaharia huacha kazi wakisikia meli itaenda kupita hapo!

- Ninachosema humu JF, au mahali popote pale ndicho ninachokiamini, AND THAT IS ME, TAKE IT OR LEAVE IT kwangu mwendo ni mdundo sana mpaka kelewekes, nimesema huu mjadala ni tooo lowa kwangu hauna tija, sio Chadema wala mafisadi wanaoweza kumshinda kwa kura Mbunge wa sasa wa Same East, ningeamini otherwise ungeniona kwenye huu mjadala in full kama kawaida yangu!

- SIKU NJEMA SANA L;EO NIPO HUKU MBEZI BEACH KIKAZI ZAIDI!

William.
 
Back
Top Bottom