wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Kwa mara ya kwanza leo umeniboa bungeni kwa hoja yako ya kung'ang'ania wakuu wa wilaya wapewe jukumu la kusimia mchakacho wa katiba wilayani
Wakuu wa wikaya wenyewe ndo hao wenye elimu ya form 4..
Huyu Mama ni ziro sana na yeye hafahamu hilo. Ni sawa na Sendeka tu. Ukimjua AM na chris sendeka, ukawafahamu vizuri, utawachukia sana. Najua majimbo yao vyema na hadi makwao. Kwa Olesendeka hasa kwa watumishi wa uma no one likes him na hata uchaguzi ulopita alipigwa chini kwenye maoni ila akachakachua. Huyu Anna sijui hata anashindaje, hawampendi walio wengi kwa kuwa ni vuvuzela na kichwa yake iko tupu. Kale kakiwanda ka tangawizi wala si kitu. Hata mimi ningekajenga mwenyewe na uchovu wangu. Niliwafagilia sana zamani. Nikawafahamu vyema then sina hamu. Zamani kabla ya kuwafahamu vizuri, nilishakuwa hata fan wa Shibuda. Mtu mmoja akaniambia hafai. Ni mwizi sana. Alishakuwa mwenyekiti wa magamba huko Shinyanga na ndo walimaliza SHIRECU. Nikakaidi, na nilikuwa wrong kwa kuwa nayaona sasa. Watu hawa hawafai. Na ndo wanatumiwa na watu kwa kudhani wao wanaaminika kumbe wanajimaliza tu.Huyu bibi
inaelekea huko
anakoishi mmmh
anzia beki 3
secretary
wanakiona cha
mtemakuni
ndo mana kaolewa
uzeeni
anaropokaga
utadhani kalishwa kitu!
Nikimskia nachefuka sana
na pua zile aghrrrr,
wapare bwana
Siku hizi Wakuu wengi wa Wilaya na Mikoa wamesoma Mkuu!
huyu mama wa kipare .anamwakilisha mume wake bungeni malecela.na sio umma wa watanzania .au ana minyoo airuhusu damu ya kutosha kupanda kichwani akili ifanye kazi vizuri ,uchaguzi wa wabunge chini ya katiba mpya 2015 arudi mbunge huyu ,