Anna Malechela leo umeniboa bungeni

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
Kwa mara ya kwanza leo umeniboa bungeni kwa hoja yako ya kung'ang'ania wakuu wa wilaya wapewe jukumu la kusimia mchakacho wa katiba wilayani
 
hana lolote huyu anajidai anajua kila kitu, anataka anachoongea yeye kikubaliwe.
 
Yaani mmi pia kaniboa kinoma utafikiri katumwa vile,halafu mama yule alivyo mkali sijui babu yetu akitaka mambo yetu yale inakuwaje?:a s 465:
 
Duh Ana noma, ameshavimbiwa sifa, basi kila kitu kuforce tu. haangalii maslahi ya umma wakati mwingine. Utafikiri anaishi milele. Mwenzake Sendeka naye atapotoka soon...........

Uzuri wamchanwa live kwamba mjengoni mtushinda kwa kura ila nje nguvu ya umma ipo.
 
Huyu bibi
inaelekea huko
anakoishi mmmh
anzia beki 3
secretary
wanakiona cha
mtemakuni
ndo mana kaolewa
uzeeni
anaropokaga
utadhani kalishwa kitu!
Nikimskia nachefuka sana
na pua zile aghrrrr,
wapare bwana
 
huyu mama wa kipare .anamwakilisha mume wake bungeni malecela.na sio umma wa watanzania .au ana minyoo airuhusu damu ya kutosha kupanda kichwani akili ifanye kazi vizuri ,uchaguzi wa wabunge chini ya katiba mpya 2015 arudi mbunge huyu ,
 
Huyu bibi
inaelekea huko
anakoishi mmmh
anzia beki 3
secretary
wanakiona cha
mtemakuni
ndo mana kaolewa
uzeeni
anaropokaga
utadhani kalishwa kitu!
Nikimskia nachefuka sana
na pua zile aghrrrr,
wapare bwana
Huyu Mama ni ziro sana na yeye hafahamu hilo. Ni sawa na Sendeka tu. Ukimjua AM na chris sendeka, ukawafahamu vizuri, utawachukia sana. Najua majimbo yao vyema na hadi makwao. Kwa Olesendeka hasa kwa watumishi wa uma no one likes him na hata uchaguzi ulopita alipigwa chini kwenye maoni ila akachakachua. Huyu Anna sijui hata anashindaje, hawampendi walio wengi kwa kuwa ni vuvuzela na kichwa yake iko tupu. Kale kakiwanda ka tangawizi wala si kitu. Hata mimi ningekajenga mwenyewe na uchovu wangu. Niliwafagilia sana zamani. Nikawafahamu vyema then sina hamu. Zamani kabla ya kuwafahamu vizuri, nilishakuwa hata fan wa Shibuda. Mtu mmoja akaniambia hafai. Ni mwizi sana. Alishakuwa mwenyekiti wa magamba huko Shinyanga na ndo walimaliza SHIRECU. Nikakaidi, na nilikuwa wrong kwa kuwa nayaona sasa. Watu hawa hawafai. Na ndo wanatumiwa na watu kwa kudhani wao wanaaminika kumbe wanajimaliza tu.
 
huyu mama wa kipare .anamwakilisha mume wake bungeni malecela.na sio umma wa watanzania .au ana minyoo airuhusu damu ya kutosha kupanda kichwani akili ifanye kazi vizuri ,uchaguzi wa wabunge chini ya katiba mpya 2015 arudi mbunge huyu ,

Morenja umetoka nje ya mada! Mimi nadhani hoja yake aliikanyaga mwenyewe. Maana sehemu kubwa alidai kwa kuwa ni Kiongozi wa Nchi ndiye atakuwa ameteua Tume, basi huko wilayani, DC ambaye alimwita ni Rais wa Wilaya ni lazima awe Mwenyekiti wa Tume ya Wilaya yaani Msimamizi Mkuu. Kwa mantiki hio katika ngazi ya Kitaifa, basi Rais hana budi awe Mwenyekiti wa Kamati hio pia!

Nilifurahishwa na michango ya wabunge wengine ambao waliwaona wakurugenzi kama ni watendaji walio karibu na watu, wanaowajibika moja kwa moja kwa watu kupitia Baraza Zima la Halmashauri(Full Council), na kwa uhakika wenye kujua mazingira yote ya ulinzi na usalama kuliko mwanasiasa mwenye cheo cha U-DC.

Kwa ajili hii, sikuwahi kupata hasira kwa kumsikiliza mtu kama nilivyokuwa namsikiliza Mh Anna, na aliniudhi sana alipokuwa anapaaza sauti na kutaka kuungwa mkono na wenzao maana niliona sura ya kinafiki ndani yake. Debe tupu....
 
Yule mama nilimuona jinsi alivyokuwa anaawaamrisha wabunge kusimama eti kuunga mkono hoja. Kuna mzee mmoja alikuwa kakaa naye pembeni alikuwa anamshangaa yule mama alivyokuwa anajaribu kufanya eti DED sio serikali. In short mama nimemdharau sana na nimemfuta katika watu niliokuwa naawamini. Ukiwa msafi unatakiwa kusimamia ukweli mtupu sio maslahi ya kikundi cha watu, jinsi alivyokuwa anaongea ni dhahiri alikuwa ametumwa/amechaguliwa kuwakilisha hoja ile haikuwa inishativu yake.

Mwanasharie mkuu wa serikali kaabisha sana jana. Ukiona mtu mwenye mwili mkubwa anaongea pumba inakera zaidi. Kwenye hoja ya DC na DED alisema yeye ni mshauri na anatakiwa kuwa neutral ila kwa vile majority........basi tuaangalie ila mimi niko neutral. Cha kushangaza kwenye hoja ya Simbachawene akasema anaiunga mkono. Ina maana akili yake haiko sawa maana kwa muda mfupi sana alishasahau kuwa kasema yeye ni mshauri anatakiwa kuwa neutral............ni aibu sana kuwa na PHD holder wa sampuli ile. Kazi kweli kweli..............................pia alisema yeye alifundishwa kutotumia hadharani neno misconception kwa vile .......mtu ku conceive .blah blah........... nikajua huyu hajui tofauti ya maneno misconception na conceive. Sasa sijiu hata kama alielewa superfluous ilivyotamkwa na TL
 
Back
Top Bottom