Anna Makinda For Presidency 2015!!

E kwa nchi ya ufisadi kama hii lolote lawezekana!


Angalau ana uwezo wa kufanya maamuzi, hata kama ni mabovu DAIMA kuliko huyu aliyeumbwa bila facult hiyo ndani ya brain yake! Poor prezidaa!
 
mara gwaaa..mtu kawa nominated ..mara gwaaa ... watu wameiba kura ..mara gwaaa..watu wameingia magogoni ..mara ving'ora mama ni rais..mimi najinyonga au nahamia kenya kama maghufuli alivyoshauri

Hawezi akakubali hata akiahidiwa bilioni mbili mshara kwa saa. kwanza hata huo uspika-wa bunge kwa sasa hivi kwake ni suruali ya kupwaya. ashukuru mungu CHADEMA ni cousin brother wa CCM. Lakini CHADEMA mwenyekiti awe mtikila halafu mtoto wa kasanga tumbo awe naibu mwenyekiti katibu mtoto wa tumtemeke sanga. hapo tutakuwa na upinzani wa kweli tanzania.
 
kudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!kibongo inawezekana lakini duh
hiki kibibi kiwe rais?wallah najiunga alshabaab na ntakua wa kwanza kuongoza kupindua nchi
 
Nimesikia habari mtaani kuwa lile kundi lililomuweka huyu mama katika kiti cha uspika lina mpango wa kumpa sapoti ya urais 2015, endapo mtu wao wanaemtegemea hatafanikiwa kupata nafasi ya kugombea ndani ya chama.

Hizi ni habari zinazoongelewa mtaani sina source ya uhakika!!!
Kama waliweza uspika hakuna linaloshindikana! Jiandae kulizoe lile wigi!
 
Back
Top Bottom