Anko na mama

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Katika basi moja,mama mmoja alitaka kumyonyesha mtoto,mtoto akagoma,mama akamwambia nyonya,kama utaki nampa anko anyonye!" anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama.Mtoto akanyonya kidogo akaacha,Mama akatishia tena kumpa anko,ndipo yule kaka kwa hamaki akasema,"mama uwe na msimamo,nimepitiliza vituo vinne kwa ajili hio!
 
jamaa naye alichelewa wakati anamtishia mtoto kuwa nampa anko, jamaa nalo lingefungua mdomo na kulamba kidogo, labda mama angemuachia, ila je? umri huo ni wa hiyo lishe?? Maana unyonyaji wa kiutu uzima hayatoki maziwa hayo aliyotakiwa kupata huyo mtoto, sasa huyo anko angemeza na hayo maziwa???:A S-omg::rapture::boom: acha hizo wewe mtu mzima ooovyoo!!!! Unyonye nini unangojea hadi unapitiliza vituo, fara kabisa
 
Huyo anko nae alikuwa haja tulia hata kidogo eti "uwe na msimamo"
thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom