Anko na mama

Unatisha man,tehe tehe tehe!hapa pemben kuna mama anamnyonyesha mwanae cjui atamtishia km uncle nami nisikilizie collable!
 
teh teh jamaa hakunote kama anatishiwa ili mtoto anyonye duh
Katika basi moja,mama mmoja alitaka kumyonyesha mtoto,mtoto akagoma,mama akamwambia nyonya,kama utaki nampa anko anyonye!" anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama.Mtoto akanyonya kidogo akaacha,Mama akatishia tena kumpa anko,ndipo yule kaka kwa hamaki akasema,"mama uwe na msimamo,nimepitiliza vituo vinne kwa ajili hio!
 
Back
Top Bottom