Animators,Still & motion Graphics Designers,Mnaononaje Hapo?

Kadoda and the rest of aspiring animators,
The best approach for your line of creative endevours is to present be it to the masses here the work that you have conceived or works that you would replicate as a learning process in order for potential clients to realise your expertise. Hii ya kuogopa kuwa wahindi na wengine sijui wa wapi ndio wanaopata kazi imepitwa na wakati, chukua fursa uliyonayo kunoa makucha yako na kuweka kazi yako hewani ndio hao potential clients waweze kujua nanyi mpo.
Zaidi ya blogs za wabongo, wekeni portfolio sites zenu kuonyesha utundu wenu...
 
copy that.
 
@kadoda11
Kwa upande wangu mm naiona ipo kawaida mno, i dont believe kama umespend too much time kwenye hii project, Ila we all start from the bottom...
I did this using Maya & After Effects...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom