Hakika rais Magufuli anastahili pongezi kubwa sana kwa sababu ya walau kuanzisha mjadala wa kitaifa kuhusu hizi rasilimali za nchi.
Historia itamhukumu vizuri sana, naamini.
Nadhani asingefanya, ila naamini Dr. Slaa angeweza kufanya haya, na zaidi. Maadamu JPM yupo CCM, lazima kutakuwa na kulindana kwa namna moja au ingine, hivyo kwa kiasi fulani hataweza kuyafanya yale ambayo angeweza kuyafanya kama angekuwa nje ya CCM.Nauliza tu.
Na nauliza kwa nia njema kabisa.
Hivi rais angekuwa Lowassa, kupitia chama chochote kile, iwe CCM au CHADEMA, mnadhani angekuwa hata na uthubutu wa kuyafanya kama haya anayoyafanya rais Magufuli, kwa mintarafu ya hizi taarifa za tume ya kuchunguza mchanga wa madini?
Hatathubutu!! Alishasema wastaafu wapumzike kwa amani. Tatizo la kuwa CCMMkuu Nyani, unamaanisha kuficha boti feki kuleee ili wizi uliohusika usiongelewe ndiyo uzalendo wa huyu? Au ni kufunika issue zilizokuwa moto kama ESQROW na LUGUMI? Binafsi nitamsapoti tena kwa hili tu, kama atawasogeza mbele ya pilato wahusika wote wa wizi huu, na waadhibiwe. Na nikisema wote namaanisha wote kutoka juu hadi chini. Zile kinga zote azitumbue sheria ilale nao mbele. Tofauti na hivyo ni mbwembwe tu.
Thubutu hana jeuri hiyo sasa angeulizwa ah hata wewe,ukiangalia hao waliotajwa na hao ACCACIA wana uhusiano wa karibu na maswahiba wa Lowassa akina Rostam,Chenge,Karamagi,Ngereja,Mwapachu,Mwanyika na wote hao ni vibopa.Nauliza tu.
Na nauliza kwa nia njema kabisa.
Hivi rais angekuwa Lowassa, kupitia chama chochote kile, iwe CCM au CHADEMA, mnadhani angekuwa hata na uthubutu wa kuyafanya kama haya anayoyafanya rais Magufuli, kwa mintarafu ya hizi taarifa za tume ya kuchunguza mchanga wa madini?
Nani humu anayeamini kwa moyo wote kabisa kwamba Lowassa angeweza kuyafunua mambo ambayo kwa kweli yanaiweka CCM pabaya?
Nani humu anayedhani kuwa huyo poster boy wa ufisadi Tanzania angekuwa na uhalali wa mamlaka ya kimaadili kufanya kama anavyofanya sasa rais Magufuli?
Najua wengi wenu humu mnampinga Magufuli.
Pamoja na mapungufu yake, mimi naamini historia itakuja kumhukumu katika mwanga ulio chanya kwa kuwa rais mzalendo na mwenye uchungu na Tanzania.
Kama Kikwete watu mshaanza kumkumbuka basi sina kabisa shaka lolote lile kuwa hata Magufuli naye atakumbukwa vizuri tu.
Haya sasa kazi kwenu nyie wafia vyama na ukabila. Rusheni kejeli na tuhuma zenu kuwa mimi ni CCM na mkabila.
Mkuu hadi sasaNauliza tu.

Uchama anao Lissu na nyieNshaona wwe unataka mjadala tu maana unahamisha magoli nkikuuliza hapa amekula hela za ACACIA wapi na lini unaweza thibitisha??? Acha uchama mkuu utakudumaza tu
Jana kuna wenzetu wakiwa mjengoni wameimba "wana imani na Kikwete". Lakini ni Kikwete huyo huyo waliyemsubiri aingie mjengoni halafu wao wakatoka nje, kwa maelezo kwamba wanampelekea ujumbe wasivyo na imani naye, na kwamba yeye ni dhaifu asiyefanya maamuzi yaliyoitwa magumu. Kiukweli sioni tofauti kati ya wabunge wa chama tawala na wapinzani wao. Full unafiki.Nauliza tu.
Kama Kikwete watu mshaanza kumkumbuka basi sina kabisa shaka lolote lile kuwa hata Magufuli naye atakumbukwa vizuri tu.
Uchama upi??? Kwani uongo ccm haihusiki kwenye haya maufisadi ya madini?? Kwani yona alietajwa jana na kafumu wapo chama gani??? Embu kuweni serious watanzania na sioni mtu hapa anawazungumzia zaidi kuanzia mwenyekiti wenu mpaka nyie mnaotumika mmeishia kumtukana lisu kana kwamba ndio chenge!!! Hili linchi hili linashida sana afu rais mzima anauliza nani aliyeturoga afu ndugai anacheka wakati ndio lenyewe lilikuwa naibu spika kipindi muswada wa gesi na mafuta unaletwa ambao nao mwenyekiti wa maccm kasema una mushkeli!!! Afu badala ya kumsema huyo ndugai na makinda eti ashughulikiwe lisuUchama anao Lissu na nyie
What a pity! Umetumwa?Nauliza tu.
Na nauliza kwa nia njema kabisa.
Hivi rais angekuwa Lowassa, kupitia chama chochote kile, iwe CCM au CHADEMA, mnadhani angekuwa hata na uthubutu wa kuyafanya kama haya anayoyafanya rais Magufuli, kwa mintarafu ya hizi taarifa za tume ya kuchunguza mchanga wa madini?
Nani humu anayeamini kwa moyo wote kabisa kwamba Lowassa angeweza kuyafunua mambo ambayo kwa kweli yanaiweka CCM pabaya?
Nani humu anayedhani kuwa huyo poster boy wa ufisadi Tanzania angekuwa na uhalali wa mamlaka ya kimaadili kufanya kama anavyofanya sasa rais Magufuli?
Najua wengi wenu humu mnampinga Magufuli.
Pamoja na mapungufu yake, mimi naamini historia itakuja kumhukumu katika mwanga ulio chanya kwa kuwa rais mzalendo na mwenye uchungu na Tanzania.
Kama Kikwete watu mshaanza kumkumbuka basi sina kabisa shaka lolote lile kuwa hata Magufuli naye atakumbukwa vizuri tu.
Haya sasa kazi kwenu nyie wafia vyama na ukabila. Rusheni kejeli na tuhuma zenu kuwa mimi ni CCM na mkabila.
Pole kwa kutetea "zigo la miba".Kweli, maarifa hayajiaminishi.
Anayejiaminisha ni mtu. Na maarifa si mtu. Maarifa ni ya mtu.
Stop bitting around the damn bush, hapa mhusika asiyeambilika ni mmoja tu. Anafahamika. Bingwa wa kushauri washauri. Mropokaji in chief.Ubaya na uzuri wa hilo kundi ni kuwa lina idadi kubwa ya watu, na wengi wao hata hawajijui kuwa ni majuha!
JamiiForums is a 'User Generated Content' site;Hayo sasa ni maoni yako tu. Na maoni yako si lazima yawe ndo uhalisia wa wengine.
MAN-UP.Wewe ulitaka afanye nini kipindi hicho?
Wanafiki mbona wapo wengi tu.....
Na unafiki kwenye siasa wala si jambo geni au la ajabu.
Ni nani asiye mnafiki kwenye siasa?