Angekuwa baba yako ungemfikiriaje?

kwani wewe utamwambia nini mtoto wako? Mbona mnapenda ku-judge watu namna hiyo? wewe ishi maisha yako nenda zako. Wewe hayo mawazo umeyapataje kama sio kuwa na mawazo kama hayo? Na wewe utawaambia nini watoto zako?
 
mimi naona ni pre-emptive strike ya mzee. anahisi anaweza kuja letewa mkwe toka kwenye hiyo kwaya. so akishawachuja wote, kijana ataona noma kuleta mkwe mtarimbo. itabidi aingie tena mwituni kutafuta kitu ambacho mzee ataridhishwa nacho. na changamoto kwa dogo awe makini!
 
Back
Top Bottom