Angekuwa baba yako ungemfikiriaje?

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
7,832
3,459
wadau habari zenu! kuna rafiki yangu mmoja nimemuazima DVD ya kwaya yetu ya hapa chuoni kaenda nayo kwao na alikuwa anaangalia, baba yake alimkuuta anaiangalia naye akaanza kuangalia, ndipo baba yake alipoangalia mabinti akajikuta anasema! aisee kwenye hii kwaya hakuna mabinti wanaofanana na wa enzi zangu! je! angekuwa baba yako ungemchukuliaje?
 
mimi ningesema baba nimepata lol
 
For ever young... The heart never grows old buddy... wait till you see then utaelewa ni kwanini Tajiri/Professor/Mkurugenzi wa IMF Dominique Strauss-Kahn Umri zaidi ya sitini anashikiliwa kwa kulazimisha tendo la ngono...
 
  • Thanks
Reactions: BAK

asha d
usikurupuke kuamini hii habari...
huyo jamaa alikuwa kabla ya kashfa
anamzidi sarkozy kwa umaarufu nchini kwao..
na watu walikuwa wanasubiri agombee urais...
sasa pengine ni siasa chafu...
just wait and see
 
In fact hivyo ulivyoelezea that is my true belief and opinion... Kahn ana influence kubwa sana Ufaransa but unfortunatley nasikia alishawahi kua na hio scandal mpaka akaomba msamaha kwa fellow workers... SWALI linabaki wamembambika because ana hio history au the guy anapenda sana skirt hivyo akisingiziwa ni rahisi kuaminika...

Hapa nilitumia kama mfano but I genuinely don't believe it....
 
....Only time will tell
 
Ni ukosefu wa maadili kuanza kuvaa viatu vya baba zetu; sasa unataka tufikiri nakuanya waliyofanya wao enzi zao; kwa faida ya nani?
 
wadau habari zenu! kuna rafiki yangu mmoja nimemuazima DVD ya kwaya yetu ya hapa chuoni kaenda nayo kwao na alikuwa anaangalia, baba yake alimkuuta anaiangalia naye akaanza kuangalia, ndipo baba yake alipoangalia mabinti akajikuta anasema! aisee kwenye hii kwaya hakuna mabinti wanaofanana na wa enzi zangu! je! angekuwa baba yako ungemchukuliaje?

Ningemchukulia poa tu, kwani nini sikweli kasema.
 
Hakuna jambo la ajabu hapo kwa sisi ambao baba zetu ni wa namna hiyo!!
 
wadau habari zenu! kuna rafiki yangu mmoja nimemuazima DVD ya kwaya yetu ya hapa chuoni kaenda nayo kwao na alikuwa anaangalia, baba yake alimkuuta anaiangalia naye akaanza kuangalia, ndipo baba yake alipoangalia mabinti akajikuta anasema! aisee kwenye hii kwaya hakuna mabinti wanaofanana na wa enzi zangu! je! angekuwa baba yako ungemchukuliaje?
Kwani wewe na huyo aliyekusimulia mmemchukuliaje huyo baba?ninyi ndiyo mmemuelewa vibaya. Pengine yeye amemaanisha enzi zake mabinti wanakwaya walikuwa wanavaa kiheshima kuliko hao aliowaona sasa ninyi mmefikiria mengine!! kwanini huyo rafiki yako asingemuuliza baba unamaanisha nini ili asiwe na hisia tofauti? Ni hapo ndipo tunapokoseaga, hatuulizi, na tunatafsiri tunavyohisi kuwa ni sahihi! kumbe!!!!!!!!!
 
kwani wewe na huyo aliyekusimulia mmemchukuliaje huyo baba?ninyi ndiyo mmemuelewa vibaya. Pengine yeye amemaanisha enzi zake mabinti wanakwaya walikuwa wanavaa kiheshima kuliko hao aliowaona sasa ninyi mmefikiria mengine!! Kwanini huyo rafiki yako asingemuuliza baba unamaanisha nini ili asiwe na hisia tofauti? Ni hapo ndipo tunapokoseaga, hatuulizi, na tunatafsiri tunavyohisi kuwa ni sahihi! Kumbe!!!!!!!!!

analyser
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom