ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Jamaa ni wabaguzi na kila mtu anajua hilo


MWEZI UMEAANDAMA ! MGONJWA HUYO KAIBUKA NA MIWANI YA JUA USONO ANAFICHA UCHAKAVU WA TULE TUVIDONGE. TANZANIA IMEANZA KAMPENI YA KUMPAMBANA NA WAFANYA BIASHARA YA HIYO ZANA INAYOKUELEKESHA PUTA. WEWE HUPONI, LABDA KAMA KALE KAUGONJWA KATAKUWAISHA. HUO USO UMEHARIBIKA MNO NA KOTI HALITOKI MWILINI, NI WA KUHURUMIA MAANA WEWE NI MAREHEMU TAYARI. BUNGENI aka SUMU aka CHILISOSI aka ASSADSYRIA aka CHILISOSI aka CHRIS MKOSI ZEE LA MAPOVU. WASTE OF LIFE!
 
MWEZI UMEAANDAMA ! MGONJWA HUYO KAIBUKA NA MIWANI YA JUA USONO ANAFICHA UCHAKAVU WA TULE TUVIDONGE. TANZANIA IMEANZA KAMPENI YA KUMPAMBANA NA WAFANYA BIASHARA YA HIYO ZANA INAYOKUELEKESHA PUTA. WEWE HUPONI, LABDA KAMA KALE KAUGONJWA KATAKUWAISHA. HUO USO UMEHARIBIKA MNO NA KOTI HALITOKI MWILINI, NI WA KUHURUMIA MAANA WEWE NI MAREHEMU TAYARI. BUNGENI aka SUMU aka CHILISOSI aka ASSADSYRIA aka CHILISOSI aka CHRIS MKOSI ZEE LA MAPOVU. WASTE OF LIFE!
Mnaambiwa ukweli mnaona uongo na ujinga, labda kama wewe ni wa kaskazini, lakini kama umetoka mikoa tofauti kama mimi basi akili yako itakuwa imezungukwa na barafu ndio maana hata picha huelewi
 
Ndugu Chris wewe ni MUONGO na MCHONGANISHI kama umelipwa na CCM kusema uongo jua kuwa unajidanganya mwenye kama kweli post picha wakiwa ujerumani wanapima sukari. Nitakuamini, maana binafsi najua ziara yake ilikuwa ya nini. Ebu kuua acha utoto,ucwe unadanganya watu.
 
nyote mnajua kuwa juzi tu babu aliongozana na familia nzima hadi wapambe kwenda kufanyiwa check up ya kisukari ujerumani, jambo ambalo sio tu linaweza kufanywa na hospitali ya kawaida nyumbani bali pia ni la kwaida sana nyumbani.

Wakati tukishuhudia babu kwa muda wa wiki mbili na nusu kwa gharama kubwa zisizo mfano, leo hii kamanda ambaye juzi tu alisota rumande kwa mwezi mzima na kuwa gumzo kwa jamii kwani alikuwa akiwakilisha chama, kwa bahati mbaya ameugua na imebidi alazwe lakini matibabu aliyoyapata ni sawa tu na wanayopata raia wa kawaida muhimbili.

Mbona nasari juzi alivyojipiga ngumi ya pua alipewa first class treatment?

Makamanda inabidi muwaogope sana hawa viongozi wenu kwa ubaguzi wao.

Jitambue
mh-joshua-nassari-akiwa-amelazwa-hospitali-ya-selian-na-mh-peter-pinda-waziri-mkuu-300x165.png
images
lwakatare-704x400.jpg
images

sioni tatizo kiongozi kutibiwa kama mwananchi wa kawaida, inaonekana una elements za kibaguzi wewe, hufai kuwa kiongozi.
 
Be honest, huu ni ubaguzi wa hali ya juu sana, kwa nini nassari alitibiwa first class halafui lwakatare analala muhimbili third class?

Kwanini kuwe na hizi classes ndani ya hospitali ya umma il-hali wananchi ndiyo walipa kodi ya kuendesha hospitali iyo hiyo? Serikali imetenga haya madaraja kwa manufaa ya nani? Unataka kusema serikali ya CCM imewatenga wananchi wake katika mafungu mafungu.Is this the apartheid government? Ni nani anadictate nani alale wodi gani, ni utawala wa hospitali au anayeuguza mgonjwa wake? Acha kuaibisha serikali ya CCM kwa kudhani unatetea CCM.

Hakuna cha first class wala third class, hali na huduma za hospitali zetu za umma zinajukana, ni unclassifiable. Wewe haya madaraja umeyatoa wapi?
 
achaneni naye kwanza ana tuhuma yeye na jamaa zake kutumia kivuli cha serengeti freight Uk kuuza cocaine

Hata Mimi nimesikia hiyo habari ingawa sijui ukweli wake. Labda ndio Maana inabidi akipiganie sana chama tawala... Mtumwa sio lazima apitie Bagamoyo kwenda Ulaya...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom