ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Nyote mnajua kuwa juzi tu babu aliongozana na familia nzima hadi wapambe kwenda kufanyiwa check up ya kisukari Ujerumani, jambo ambalo sio tu linaweza kufanywa na hospitali ya kawaida nyumbani bali pia ni la kwaida sana nyumbani.

Wakati tukishuhudia babu kwa muda wa wiki mbili na nusu kwa gharama kubwa zisizo mfano, leo hii kamanda ambaye juzi tu alisota rumande kwa mwezi mzima na kuwa gumzo kwa jamii kwani alikuwa akiwakilisha chama, kwa bahati mbaya ameugua na imebidi alazwe lakini matibabu aliyoyapata ni sawa tu na wanayopata raia wa kawaida muhimbili.

Mbona Nasari juzi alivyojipiga ngumi ya pua alipewa first class treatment?

Makamanda inabidi muwaogope sana hawa viongozi wenu kwa ubaguzi wao.

JITAMBUE
Mh-Joshua-Nassari-Akiwa-Amelazwa-Hospitali-ya-Selian-na-Mh-Peter-Pinda-Waziri-Mkuu-300x165.png
images
Lwakatare-704x400.jpg
images
 
hivi ni kweli we ni mkimbizi kwa malkia au omba omba.
 
bwana lukosi hii kazi ya kuitetea CCM kwa kweli itakugarimu sana na zaidi itakulemaza kifikra sababu umesha izoesha akili yako kufikri kizembe ,majungu,umbea na mengi yanayo kuzidishia ulemavu wa fikra. embu jaribu kutumia akili ambazo mungu alikutunuku, vinginevyo naamini hata familia yako inaelekea kukushinda kabisa ingawa wewe utajiona upo sawa.ni ushauri tu .
 
Mimi nakusamehe bure, maana najua watu wenye maradhi kama yako ni kawaida kuzungumzia watu badala ya masuala,wanapenda kuzua mambo ili wasikilizwe na kuonekana wapo sambamba na kujifanya werevu kumbe mburula.Ugua pole nami nakuombea upone haraka maana naamini hupendi kuwa na mawazo madogo wakati una umri mkubwa.
 
Bao nne za Arusha bado zimewalevya kwahiyo msishsangae huyo Mbulula, Dr wake wa kumtibu ugonjwa wa akili yupo, anaitwa Dr Pauline.
Huyu hana tofauti na shoga zake Juliana Shonza na Mwampamba. Mwisho wao unakaribia, dalili zimeanza kujionyesha.
 
Hivi huoni tofauti ya picha za nassari na lwakatare wakiwa wamelazwa hospitali moja?

Mimi ninachojua ni kuwa nasali alikuwa anatibiwa na bunge na si chama..au nimekosea mkuu. Hata hivyo sote ni watanzania tunapaswa kupata haki sawa ya huduma za afya..km kweli serikali yetu inafanya kazi.
 
Mimi ninachojua ni kuwa nasali alikuwa anatibiwa na bunge na si chama..au nimekosea mkuu. Hata hivyo sote ni watanzania tunapaswa kupata haki sawa ya huduma za afya..km kweli serikali yetu inafanya kazi.
Kwa hiyo wewe unaona sawa kabisa babu kwenda check up ugerumani na familioa nzima kwa wiki tatu halafu kamanda wa muhimu aliesota kwa muda mrefu jela kwa ajili ya chedema anatupa muhimbili third class na kusahaulika? eti kwa sababu sio wa kaskazini?

UBAGUZI MBAYA SANA

JITAMBUE!
 
Kwa hiyo wewe unaona sawa kabisa babu kwenda check up ugerumani na familioa nzima kwa wiki tatu halafu kamanda wa muhimu aliesota kwa muda mrefu jela kwa ajili ya chedema anatupa muhimbili third class na kusahaulika? eti kwa sababu sio wa kaskazini?

UBAGUZI MBAYA SANA

JITAMBUE!
Vp mkuu, karibu nyumbani kupige jembe basi mbona unapiga vigelegele ukiwa mbali? Njoo tukate mzigo basi.... Maana naona unasahau kabisa kwamba babu yuko hadi nje ya chama, ukipita ccbrt watakusaidia details

ila kua swali hujanijibu....UMEPONA?
 
vp mkuu, karibu nyumbani kupige jembe basi mbona unapiga vigelegele ukiwa mbali? Njoo tukate mzigo basi.... Maana naona unasahau kabisa kwamba babu yuko hadi nje ya chama, ukipita ccbrt watakusaidia details

ila kua swali hujanijibu....umepona?
jitambue wee mbulumundu
 
Mbona nimekupa respect yako? Au umepona?


wewe ni mtoto sana kisiasa, nini matusi kama huwezi kujibu mada. hizo ni dalili za political immaturity. kama ni ugonjwa tuu mbona hamuuzungumzii maradhi ya ki kleptomaniacism ya lema kwa kupenda kuchukua magari ya watu na kuyauza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom