Ambayo hayana maana kabisaWatu mnatumia vichwa vyenu kwa mambo mengi
Mmmh
Bhangi zinawasumbuaAmbayo hayana maana kabisa
Be Humble is free of charge
NDIO MAANA UPELELEZI WA JAMBO HUANZIA KATIKA KITU CHA KIJINGA SANAKwenye huo unaouiita ujinga ujinga, ndiyo huwa kuna siri za mambo makubwa yamejificha humo! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye mambo makubwa, huwa yanajifificha kwenye vitu vya kijinga kijinga ili akili kubwa itumike kuweza kuyaona!. Kwa mfano, kuna real story ya jamaa mmoja aliwahi kufukua maiti halafu akaenda akaichoma kwenye gari lake, ili ionekeane kuwa amepata ajali yeye mwenyewe akiwa anaendesha gari, ili mke wake alipwe LIFE INSURANCE, hatimaye yeye akawa amebadilisha identity baada ya muda, ikaonekana ni mchumba mpya wa yule mwanamke aliyepoteza mme wake kwa ajali ya gari,..., ili wale bata vizuri! Kumbe polisi walishauona mchoro kwenye scene ya ajali kwa vitu viwili vidogo tu, cha kwanza "there was no skidding marks on the road" ambazo zingethibitisha kuwa ilikuwa ajali iliyopelekea gari kuungua, na cha pili, dereva akipata ajali akaungua ndani ya gari alilokuwa akiendesha, kiti cha dereva huwa hakiteketei chote. Kwa case ya huyu jamaa kwa sababu alienda akafukua maiti ya miezi kadhaa na kuiweka kwenye gari ahalafu akaitia kiberiti, kiti cha dereva kilikuwa kimetekea chote! Mambo makubwa huwa hayajifichi kwenye vitu vikubwa sana, in most cases!
Mngekuja na namna ya mchanganuo wa ku`crack codes za how unaweza kujitengenezea vocha mwwenyewe,mngekuwa mmefanya la maana sana,always najiuliza ni machanism gani imetumika kutengeneza vocha hadi watu washindwe kukisia tarakimu sahihi?
Vichwa vyetu vitakuwa vigumu mkuu.
Chumaulete, pesa bila jasho.
Yani kuna miaka namba tajwa hufanana kimatamshi/uandishi wake mara nyingi zaidi!.. Sasa mwaka 2019 kwa maneno ya mleta mada ndio mwaka wenye idadi kubwa ya namba hizo kujirudia!..una onekana umepata mwangaza kidogo tufafanulie basi mana binafs nimetoka kapa
😂😂😂 ila Anko Magu kiboko daah hadi watu wanahesabu tarehe zilizofanana kwenye kalenda si mchezo nusu uchizi huuSiku zifuatazo kwa mwaka huu, zote tarehe zake zimeundwa na tarakimu ya 0, 1, 2 na 9. Nazo ni:
1. KWA JANUARY peke yake tu ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/01/2019,02/01/2019, 09/01/2019 (jana), 10/01/2019 (leo), 11/01/2019 (kesho), 12/01/2019 (kesho kutwa), 19/01/2019, 20/01/2019,21/01/2019, 22/01/2019, 29/01/2019
2. KWA FEBRUARY vile vile ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/02/2019,02/02/2019, 09/02/2019, 10/02/2019, 11/02/2019, 12/02/2019, 19/02/2019, 20/02/2019,21/02/2019, 22/02/2019, 29/01/2019
2. KWA SEPTEMBER vile vile pia ni siku 11 nazo ni:
tarehe 01/09/2019,02/09/2019, 09/09/2019, 10/09/2019, 11/09/2019, 12/09/2019, 19/09/2019, 20/09/2019,21/09/2019, 22/09/2019, 29/09/2019.
Kwa hiyo kwa mwaka huu kuna siku 33 ambazo tarehe zake zimeundwa na tarkimu 0, 1. 2 na 9
Naomba kama kuna mtu ana rekodi kubwa zaidi ya hii atuwekee hapa!
Mbarikiwe tena
Yani kuna miaka namba tajwa hufanana kimatamshi/uandishi wake mara nyingi zaidi!.. Sasa mwaka 2019 kwa maneno ya mleta mada ndio mwaka wenye idadi kubwa ya namba hizo kujirudia!..