Angalia ushahidi wa picha then utoe maoni yako lipi ni goli halali kati ya la chicharito vs chelsea

Ndio ishatokea no way out its on

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hata mie nakubaliana na Mdau kuwa ndio ishatokea tatizo linakuja tabia zao lazima zibadilike za kukandamiza baazi ya timu ma Refa wanakuwa na nguvu sababu wanatetewa na Chama cha Mpira Uengereza na hukaa kwa pamoja kujadiliana game hii ndio tatizo kubwa, Marefa walitakiwa nao kuwe na Chama kinawapiga FA chama cha mpira uengereza fine basi FA wasingekuwa na muda kuwatetea hao Marefa.

Chama cha mpira uk FA, kinapenda Tabia za Marefa kufanya makosa ili Manager au Mchezaji wa timu zengine mkijakumuongelea refa kwa ubaya wapate kuwapiga fine ya Mapesa na hilo ndio tatizo kubwa na wanapewa nafasi ya siku nzima kutafuta sababu nyengine kwamba ah tulitowa ile sababu ni foul au sababu ni hiki wanachunguza cha kujitetea nao palepale firimbi wafatwe na tv wahojiwe kabla mtu wa official hajampa ushauri wa nini waseme.

Ila tukirudi kwenye Point ya Suarez na Chicharito lipi Goli Halali la Suarez ni halali sababu hata mshika kibendera naamini atakuwa kajishangaa vipi ilimchukuwa sekunde 15 bila kunyanyua ndio akaamuwa kunyanyua wakati hata Refa mkono naye kashaelekeza kati ila Refa lazima afate uwamuzi wa mshika kibendera sehemu kama ile.

Chicharito sio Goli ila Speed aliyorudi nayo Chicharito ni kubwa mnoooo ukitegemea na alivyorudi Cahill wa Chelsea ndio ilomchanganya mshika kibendera napia siku zote ikitoka Game kubwa ya Upinzani wa Jadi ambayo ilikuwa LIverpool na Everton kilichotokea pale waliogopa kisije kutokea tena kwenye Game ya Chelsea na Manchester United kwahiyo ile Speed ya Aliyorudi nayo Chicharito ndani kutokea golini ni kubwa sana simlaamu Mshika kibendera sababu kaona Game iliyopita.

Na Mara ngapi tunaona Game Kubwa zikichezwa siku moja au jumamosi kisha jumapili kitachotokea mwanzo watajaribu kurekebisha game ya pili kumbe ndio wanaharibu. mie huwa watu nawaambia Howard Webb watu waseme wanavyosema kuhusu kuibeba Manchester United yule ndio Refa pekee wakuchezesha Game kubwa au Derby ambazo zinajulikana.
 
[h=3]MJADALA: ANGALIA USHAHIDI WA PICHA THEN UTOE MAONI YAKO LIPI NI GOLI HALALI KATI YA LA CHICHARITO VS CHELSEA AU SUAREZ VS EVERTON[/h]


1351438028585.gif

Hernandez goal v Chelsea
1351445688655.gif




 
msisahau na goli la Arteta. ilikuwa ni offside (arsenal vs QPR)
 
Ukiona manyoya ujue keshaliwa! Chicharito ni goal geta anajua kuji-position kama ruud Van!
 
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As The Reds Go Marching On
Welcome to old Trafford its the theatre of our dreams
Were ready to die were ready to fight - its part of our history

the power and the glory -Oh the Stretford end will sing
as the reds go marching on on on
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd!
Glory, glory, man utd
as the reds go marching on on on

With Rooney and ronaldo and the magic at their feet.
There's no competition - in the English premier league
were the champions of the world

and were the greatest football team
as the reds go marching on on on
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd!
Glory, glory, man utd
as the reds go marching on on on

And now we are the champions and Theres no one left to beat.
We've finished off the scousers - And Silenced The Mersey Beat
Ryan giggs we we love you - Gary Neville you are the best

As The Reds Go Marching On
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd

As the reds go marching on on on
As The Reds Go Marching On
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As the reds go marching on on on
As The Reds Go Marching On

Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As the reds go marching on on on





manchester-united-logo.jpg











 
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As The Reds Go Marching On
Welcome to old Trafford its the theatre of our dreams
Were ready to die were ready to fight - its part of our history

the power and the glory -Oh the Stretford end will sing
as the reds go marching on on on
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd!
Glory, glory, man utd
as the reds go marching on on on

With Rooney and ronaldo and the magic at their feet.
There's no competition - in the English premier league
were the champions of the world

and were the greatest football team
as the reds go marching on on on
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd!
Glory, glory, man utd
as the reds go marching on on on

And now we are the champions and Theres no one left to beat.
We've finished off the scousers - And Silenced The Mersey Beat
Ryan giggs we we love you - Gary Neville you are the best

As The Reds Go Marching On
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd

As the reds go marching on on on
As The Reds Go Marching On
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As the reds go marching on on on
As The Reds Go Marching On

Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
Glory, glory, man utd
As the reds go marching on on on





manchester-united-logo.jpg
How can u provide glory to devils if u arent one of them.....u may not wonder a team calling themselves RED DEVILS and they cheer devilish behaviour of conspirancy with referees.
 
Back
Top Bottom