Android updates in SM-G986U Samsung Galaxy S20+ 5g

mchushi

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
216
98
Habari zenu ndugu humu ndani....nina refurb ya s20+ hapa 5g model inagoma kuupdate android version na security patches hapa last time inaonekana kuwa ni December 2020 so no new security updates na niko stack na android ten bado nikijaribu kuupdate napewa ujumbe huu hapa chini
Naomba msaada kwa anayeweza hii issue ili niendelee kuenjoy

Screenshot_20211208-230220_Settings.jpg
Screenshot_20211208-230258_Software%20update.jpg
Screenshot_20211208-230607_Settings.jpg
 
Habari zenu ndugu humu ndani....nina refurb ya s20+ hapa 5g model inagoma kuupdate android version na security patches hapa last time inaonekana kuwa ni December 2020 so no new security updates na niko stack na android ten bado nikijaribu kuupdate napewa ujumbe huu hapa chini
Naomba msaada kwa anayeweza hii issue ili niendelee kuenjoy

View attachment 2038337View attachment 2038339View attachment 2038340
Mkuu,
Hii inaonekana ni version ambayo ipo Locked kwaajili ya USA.
Ambacho unaweza kujaribu kufanya ili kuona kama unaweza kupata updates ni;

1. Download VPN,
2. Chagua server ya USA,
3. Fanya update ya simu yako.

Kisha lete mrejesho hapa kama utakuwa umefanikiwa.

Ahsante!
 
Thanks in advance ngoja nijaribu chief
 
Mkuu,
Hii inaonekana ni version ambayo ipo Locked kwaajili ya USA.
Ambacho unaweza kujaribu kufanya ili kuona kama unaweza kupata updates ni;

1. Download VPN,
2. Chagua server ya USA,
3. Fanya update ya simu yako.

Kisha lete mrejesho hapa kama utakuwa umefanikiwa.

Ahsante!
Shukrani kiongozi....ila naona hii nayo imegoma.
Screenshot_20211211-091842_Software%20update.jpg
 
Mkuu ukishindwa hapo juu nenda kwenye website ya sammobiles huko wanazo update kwa ajili ya kudownload manually na wana kupa means za kuweza ku updae simu yako.
Okay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?
 
Okay asante inabidi nikajribu.....ila vipi hakuna risk zozote naweza kuzipata kwa kufanya manual installation?Au hawa jamaa ni reliable?
Mimi s9 plus nilidownload kupitia sam,nikaipiga fresh ila shida network ikawa inaishia 3g tu,,nilisikia hadi ufanye conversion ya rom hata sielewi ndo inakuaje kuaje
 
Ushaambiwa is up to date sasa unatakaje?
braza hii ni galaxy s20 + ambayo kiutaratibu ilitakiwa iwe na android version 11 since last year mwishoni.....na One UI 3.5 ambapo mwanzoni next year inatakiwa kuwa na android 12 so hiyo kusema is up to date wakati bado ina android 10 ndiyo tatizo lenyewe ninaloomba utatuzi.
 
SM-G986U, hii ni version ya USA (Locked),

SM-G986U1 USA (UNLOCKED)

SM-G986N (KOREA)

SM-G986B (GLOBAL)

Mara nyingi hizi USA Version kama unataka kufanya updates na upo nje ya USA huwa inakubali kwa VPN kisha unachagua server ya USA.

Sasa kama kwako imekataa basi alternative inakuwa kufanya Manual update kama mdau alivyokushauri hapo juu.
 
Nimepata shule nzuri sana ndio maana hakina Chief-Mkwawa wanashauri ukitaka simu original ni vizuri uende kwenye maduka yenyewe.

Nina Samsung Note 10+ hii nilinunua kwenye yale maduka yetu ya Kijitonyama/Mlimani City maduka ya nje bado ina Android 10 na kila nikijaribu kucheck SOFTWARE UPDATES inaniambia YOUR SOFTWARE IS UP TO DATE wakati ni Android 10.

Alafu S Pen yake haiwi connected kwenye simu, nimeangaika sana nimechoka.

Nilijaribu S Pen yake kuiweka kwenye Note 20 inakuwa connected ila ya Note 20 ukiiweka kwenye note 10+ haiwi connected.

Screenshot_20211214-110630_Software update.jpg

Nina simu nyingine Samsung Note 20 5G hii sikununua kwenye hayo maduka, hii kwenye ku-update haina shida.

IMG-20211214-WA0004.jpg
 
Mkuu ukishindwa hapo juu nenda kwenye website ya sammobiles huko wanazo update kwa ajili ya kudownload manually na wana kupa means za kuweza ku updae simu yako.

Mkuu asante sana.

Nimefanikiwa kuiupdate Samsung Note 10+ kwenda Android 11 kwa njia hii. Bahati nzuri Apps, files, nk zimebakia kama zilivyokuwa hakuna kilichofutika.

IMG-20211214-WA0025.jpg

IMG-20211214-WA0027.jpg

IMG-20211214-WA0026.jpg

Screenshot_20211214-204328_Software update.jpg
 
Back
Top Bottom