daniseckadam
Member
- Jul 15, 2015
- 72
- 30
Wana JF kwema? Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na os mbili za jamii ya android ambazo unaweza zitumia kwenye computer yako
1.remix os
2.phonex os
Kwa wale wenzangu na Mimi wenye computer ambazo zipo slow,hizo os mbili hazihitaji ram kubwa sana,pia unaweza kuzitumia ukiwa na os nyingine kwa PC yako(duo boot) hizo os mbili zinafanana kwa mambo mengi,inategemea na upendeleo wako