Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

Chochote chenye Jina kina exist.

Mungu ni Noun, yupo.

Mimi ninaongeaga nae na kusikia sauti yake.

Ndiye huyo akupaye Pumzi Bure Kisha unamkataa!!
Kama chochote chenye jina kina exist, nikiipa jina hali ya kutokuwepo kabisa Mungu, nikalitaja jina hilo, Mungu atakuwa hayupo kwa sababu chochote chenye jina kina exist?

Kuna miungu maelfu kwa maelfu, wengine tabia zao zinapingana kimantiki kuwafanya wote wasiweze kuwapo pamoja, na wote wana majina, ina maana wote wana exist?

Mfano, je, miungu tofauti, wenye tabia tofauti, ambao wote wanasemwa kuwa ndio walioumba ulimwengu na vyote vilivyomo, wana majina.

Ina maana wote wameumba ulimwengu na vyote vilivyomo? Itakuwaje Mungu zaidi ya mmoja awe kaumba ulimwengu na vyote vilivyomo?

Hujathibitisha Mungu yupo. Umethibitisha una imani Mungu yupo.

Hiyo habari ya kuongea naye unaweza kuwa una matatizo ya akili tu ukajiona unaongea na Mungu, kumbe unasikia maruweruwe tu.
 
Kama chochote chenye jina kina exist, nikiipa jina hali yavkutokuwepo kabisa Mungu, nikalitaja jina hilo, Mungu atakuwa hayupo kwa sababu chochote chenye jina kina exist?

Kuna miungu maelfu kwa maelfu, wengine tabia zao zinapingana kimantiki kuwafanya wote wasiweze kuwapo pamoja, na wote wana majina, ina maana wote wananexist?

Hujathibitisha Mungu yupo. Umethibitisha una imani Mungu yupo.

Hiyo habari ya kuongea naye unaweza kuwa una matatizo ya akili tu ukajiona unaongea na Mungu, kumbe unasikia maruweruwe tu.
Ndo mana nasema unakosea kusema usemavyo ilhali Hujamtafuta Mungu kuthibitisha uwepo wake, unakimbilia kusema hayupo!!

Nimekwambia Mimi naongeaga naye, wewe unasema ni maruweruwe,

Imekuwaje wewe kudai Mimi Nina maruweruwe kabla ya kuthibitisha kuwa ninayeongea naye ni Mungu au la!!
 
Unajuaje sijamtafuta Mungu?

Unaweza kuorodhesha njia ambazo wewe umemtafuta Mungu ili tuzilinganishe na zile ambazo mimi nimemtafuta Mungu?

Na kama kweli Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini tunahitaji kumtafuta?

Kwa nini asijidhihirishe kwetu bila utata wowote, bila ugumu wowote, kwa njia ambayo itafanya suala hili liwe na uwazi kwa kila mtu, mpaka hata huu mjadala usiwezekane kufanyika kwa sababu kila mtu anaelewa vizuri kabisa Mungu yupo?

Mungu anajifichaficha mpaka atafutwe kwani anaogopa nini? Anadaiwa kodi na TRA?
 
ukiokoka kaa kwenye wokovu kwa kuongoka, usijipe umuhimu zaid ya wengine kupita kiasi, usijihesabie haki, kuhukumu na kulaani wengine, wala usiwe na tamaa ya kujivika umungu au kutamani nafasi ya Mungu...
Naunga mkono HOJA.
 
Unajuaje sijamtafuta Mungu?

Unaweza kuorodhesha njia ambazo wewe umemtafuta Mungu ili tuzilinganishe na zile ambazo mimi nimemtafuta Mungu?

Na kama kweli Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini tunahitaji kumtafuta?

Kwa nini asijidhihirishe kwetu bila utata wowote, bila ugumu wowote, kwa njia ambayo itafanya suala hili liwe na uwazi kwa kila mtu, mpaka hata huu mjadala usiwezekane kufanyika kwa sababu kila mtu anaelewa vizuri kabisa Mungu yupo?

Mungu anajifichaficha mpaka atafutwe kwani anaogopa nini? Anadaiwa kodi na TRA?
Wacha porojo,

Thibitisha Mungu kuwa hayupo.

Mimi nimethibitisha yupo na huongea naye.

Nithibitishie wewe kuwa Mungu hayupo.
 
Ukitaka maisha marefu duniani, jifunze unyenyekevu na kuepuka kujimilikisha sifa za Mungu.
Screenshot_20240310_180117_Biblia na Sauti.jpg
 
Wacha porojo,

Thibitisha Mungu kuwa hayupo.

Mimi nimethibitisha yupo na huongea naye.

Nithibitishie wewe kuwa Mungu hayupo.

Kwanza kabisa, hujathibitisha yupo.

Umesema unaongea naye. Huo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Hujathibitisha hata kwamba umeongea na yeyote.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Tumshukutu MUNGU kama kakangu Andrew ndo kasema haya ni jambo jema sana kuliko Ile kauri ya ni yeye huko Ethiopia wakati macho yanaona siye.
 
Ndo mana nasema unakosea kusema usemavyo ilhali Hujamtafuta Mungu kuthibitisha uwepo wake, unakimbilia kusema hayupo!!

Nimekwambia Mimi naongeaga naye, wewe unasema ni maruweruwe,

Imekuwaje wewe kudai Mimi Nina maruweruwe kabla ya kuthibitisha kuwa ninayeongea naye ni Mungu au la!!
Hapa unadanganya,
Matendo yako hapa jukwaani hayathibitishi kabisa kama wewe unaweza kuzungumza na Mungu.
 
Hapa unadanganya,
Matendo yako hapa jukwaani hayathibitishi kabisa kama wewe unaweza kuzungumza na Mungu.
Angazia matendo hayo yakutiayo jakamoyo kuhusu Mimi kuongea na Mungu.

Usilolijua Mungu huongea na Kila mtu kupitia lango la ndoto.

Ikiwa Huwa unatoa ndoto jua Huwa unaongea na Mungu,

Mungu huongea na Roho za wote WEMA Kwa waovu,

So usione kuwa tunadai kuwa tunaongea na Mungu tunajisifu, la hasha.

Karibu Yoda.
 
Wacha porojo,

Thibitisha Mungu kuwa hayupo.

Mimi nimethibitisha yupo na huongea naye.

Nithibitishie wewe kuwa Mungu hayupo.
Mimi nina amini uwepo wa Mungu kiimani,naendelea kumsoma katika kumtafuta. Ila hili la kuthibitisha kitu kisichokuwepo inawezekana kweli?
 
Mimi nina amini uwepo wa Mungu kiimani,naendelea kumsoma katika kumtafuta. Ila hili la kuthibitisha kitu kisichokuwepo inawezekana kweli?
Ni Muhimu athibitishe Mungu hayupo,

Atueleze alimtafuta lini na wapi akamkosa.

Ni sawa tu na pale South Africa, wazungu walipofika pwani ya s.a walisema hawakukuta mtu yeyote pale.

Kiranga athibitishe Mungu hayupo,

Mimi nimethibitisha Mungu yupo!

Wewe unaamini hapakuwa na mtu pale Bondeni zaidi ya ndege pekee?
 
Back
Top Bottom