Nyalutubwi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 573
- 172
Itelijensia ya kupita ya Kipolisi.Great Thinkers !
mmefikiri kwakina sana
Itelijensia ya kupita ya Kipolisi.Great Thinkers !
mmefikiri kwakina sana
Akili yako haina akili, you're pathetic fool, Jeshi la Polisi kwa muda mrefu haliajili mtu ambaye hajaitimu form four, na kwa umri wa mtuhumiwa kama amefika form Four ni lazima kwenye Data base ya Necta awepo, kama tulivyofuatilia matokeo ya Ephraim Kibonde na kukuta kumbe ni form four Failure ndio maana mpaka leo tunampuuza tu. FAKI YU.kweli kuna vichwa panzi jf. Hivi watanzania wangapi wenye majina yote ya kizungu au kiarabu. Tuliwahi kusoma na jamaa anaitwa michael jackson. Alikuwa mgogo wa dodoma. baadala udiscus why lile group lote la wauaji ambalo linaonekana kwenye picha lisishtakiwe . Unatafuta shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye. Then ukishajua shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye itakusaidia nini zaidi au itabadilisha nn?????
Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS) halionekani NECTA. isije ikawa tunauziwa mbuzi kwenye gunia au kwa lugha rahisi kanyaboya.
Naomba habari za uchunguzi zichukue nafasi yake.

Huyu jamaa anaitwa Benatus cleophance S1585/0520 twitage butimba box 20 sengerema
Kwani hamjui ajira za polisi jamani? Jina Pasifius ila cheti cha kuingilia ni cha MwajumaNdalaNdefu
wadau tumtafute huyu mtu hata mi nastuka kwa majina haya