Anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary?

kweli kuna vichwa panzi jf. Hivi watanzania wangapi wenye majina yote ya kizungu au kiarabu. Tuliwahi kusoma na jamaa anaitwa michael jackson. Alikuwa mgogo wa dodoma. baadala udiscus why lile group lote la wauaji ambalo linaonekana kwenye picha lisishtakiwe . Unatafuta shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye. Then ukishajua shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye itakusaidia nini zaidi au itabadilisha nn?????
 
Samson Mwigamba alishaandika makala akaishia kufunguliwa mashtaka ya uchochezi. wale wanaotuma kuuwa watu wapo tu wanakula kuku.
 
huyu atakuwa yule kichaa aliyekiri kumuuua Dr.ulimboka ndo kahamishiwa Iringa..filamu ya jeshi la policcm inaendelea tena
 
kweli kuna vichwa panzi jf. Hivi watanzania wangapi wenye majina yote ya kizungu au kiarabu. Tuliwahi kusoma na jamaa anaitwa michael jackson. Alikuwa mgogo wa dodoma. baadala udiscus why lile group lote la wauaji ambalo linaonekana kwenye picha lisishtakiwe . Unatafuta shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye. Then ukishajua shule aliyosoma au mtu aliyesoma naye itakusaidia nini zaidi au itabadilisha nn?????
Akili yako haina akili, you're pathetic fool, Jeshi la Polisi kwa muda mrefu haliajili mtu ambaye hajaitimu form four, na kwa umri wa mtuhumiwa kama amefika form Four ni lazima kwenye Data base ya Necta awepo, kama tulivyofuatilia matokeo ya Ephraim Kibonde na kukuta kumbe ni form four Failure ndio maana mpaka leo tunampuuza tu. FAKI YU.
 
Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS) halionekani NECTA. isije ikawa tunauziwa mbuzi kwenye gunia au kwa lugha rahisi kanyaboya.

Naomba habari za uchunguzi zichukue nafasi yake.




Muheshmiwa mumburya kaa chini,hili suala lipo mahakamani!! Lol! Chezea intelligencia ya policcm weweeee!!!
 
Wanajamvi naomba kuuliza huyu kijana anayetuhumiwa kumwua Mwangosi: PACIFIUS CLEOPHACE SIMON hajasoma sekondary? maana uki google jina lake na hata lile alilotajwa na Nchimbi (PASIFIOUS) halionekani NECTA. isije ikawa tunauziwa mbuzi kwenye gunia au kwa lugha rahisi kanyaboya.

Naomba habari za uchunguzi zichukue nafasi yake.


Hey Great Thinkers nadhani tuwe makini katika hili...mimi nina mashaka sana kama hili jina ni la muuaji! siamini kama kuna uhusiano kati ya hili jina na yule kijana aliyefikishwa mahakamani jana. kwa nini ? Kwangu naweza kuamini hili jina ni limechaguliwa tu kuendeleza kiini macho na ulaghai wa jeshi la Polisi ambao haujaanza leo(refer issue ya Mkenya). Ni sahihi kumsonga songa muuaji na kumfunika asionekane na watu? mbona wauaji wengine huwa tunawafahamu na tunawaona wakikamatwa? Hamuoni kwamba kijana anafichwa sura kwa sababu watanzania wote wakimuona na wale wanaomjua fika watamuona na kuanza kumuongelea jambo linaloweza kupelekea ukweli ukafahamika,kwa mfano hamuoni kama PACIFIUS CLEOPHACE SIMON yaweza kuwa si jina lake halisi? kesi ikiendeshwa bila sisi kumuona tukaambiwa kafungwa,tunawezaje kuthibitisha muuaji ni huyu bila kumuona usoni? na mashuhuda wote kumtambua? Anyway mimi nina imani asilimia 1 x 10[SUP]-9[/SUP] na jeshi hili la POLISICCM..Na bila RPC Kamuhanda, na askari wote walioshiriki kumpiga marehemu mpaka kupelekea roho ya kiuaji kufyatua bomu na kuua nao kupanda kizimbani...NASEMA HUU NI USANII WA KITOTO!!
 
Hivi na yule Mkenya aliyedai kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka naye yuko wapi? Kweli hii serikali kiboko!
 
Changa hilo! ujaona hata taswira yake aifanani na yule wa kwenye picha halisi!
maajabu yanaendele...! na kwa utaratibu wa majeshi hasa ya Tanzania moja kati ya majina
yale matatu (mara nyingi) lazima liwe la kienyeji! Sasa huyu Myuropa teeeeeeeeeeeeeh!
 
Ni sawa na kwenda kununua mbuzi muuzaji akawa amemweka kwenye gunia halafu anamnadi.ebwana hili beberu kubwa lipo poa sana 30,000 utakuwa umenilalia sana embu fanya 50,000 mtu wangu.Halafu ukatoa hela na kubeba gunia lako na kutambaa! Ndivyo jeshi la Polisi linavyotaka tuelewe PACIFIUS CLEOPHACE SIMON ndiye muuaji wanamnadi mahakamani akiwa ndani ya gunia, kisha watamuuza selo na funguo ya gunia watabaki nayo maana selo wanalimiki wao halafu sisi tunyamaze na kuridhika na matokeo! Tanzania eeeh x 2
 
Huyu jamaa anaitwa Benatus cleophance S1585/0520 twitage butimba box 20 sengerema
 
wadau tumtafute huyu mtu hata mi nastuka kwa majina haya

Taarifa ambazo bado nahangaika kuzithibitisha ni kwamba ndani ya jeshi la Polisi hakuna mtumishi mwenye jina hilo, hata kwenye data base yao, ila inasemekana viongozi wakuu wamezuia kwasasa data base ya orodha ya polisi wote waliopo kazini kwasasa imezuiwa isionyeshwe kwa mtu yeyote hata aliye kwenye Idara husika, inasemekana wanataka kuchomeka hilo jina hizi siku mbili tatu baada ya watu kuhoji kama ni kweli anaye hukumiwa ndiye aliyetenda mauaji ya Mwangosi. Kweli Polisi wanatumika vibaya sijapata kuona.
 
Mimi napata tabu kidogo, kwanini afikishwe mahakamni peke yake wakati walioshiriki mauaji yale kwa mujibu wa picha ni zaidi ya wanne akiwemo kamanda wa polisi mkoa wa iringa! na je kwa kitendo cha kuamrisha polisi kuwashambulia wananchi huyu kamanda sio accomplice wa Pacifius?
 
Back
Top Bottom