Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Utakuwa muuza unga wewe
Teh teh nimecheka
Utakuwa muuza unga wewe
Kazi ya kufuatilia mizizi ni ya nchimbi mwakyembe anadili na maovu yaliyofanywa kiwanja cha ndege , nadhani ungeshughulisha akili yako kabla ya kuanzisha thread hii, na umedhihirisha upumbavu wako
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana
Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani.
Halafu Sumaye alishatuonya tusichague rais muuza unga.
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana
Wewe ni mbumbumbu, haya mambo yanaenda hatua kwa hatua, kwanini watu wasimpongeze waziri kwa hatua anazochukua? Tumpongeze babu yako katufanyia nini?
Sumaye ana Maono Makali sana.Huwa Natafakari Kauli zake nyingi alizotuasa.
ukitaka kujua uelewa wa Watanzania waambie ukweli tu hakuna atakaye kuelewa.
Mkuu tongi umejidhalilisha sana kwani umeshindwa hata kujua mamlaka ya mwakyembe na ya nchimbi. I doubt ur educational level
leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h mwakyembe! Yes kausomea udoctor! Lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya jnia amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. Kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa mwakyembe kuwa ni mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia mwakyembe kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. Kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? Hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. Nilichojifunza kwa taarifa ya dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz africa kimetia doa tanzania hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. Huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana