Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

Status
Not open for further replies.
Mkuu tongi umejidhalilisha sana kwani umeshindwa hata kujua mamlaka ya mwakyembe na ya nchimbi. I doubt ur educational level
 
Nampa support Mwakyembe 100% tena hata akigombea urais 2015 Mwakyembe kura yangu nakupa!
Kama kumsifu Mwakyembe ni kutokuwa hamnazo basi let me be proud kwa kuwa chizi ama hamnazo.
Go Mwakyembe, at least you have done something.
Nakuombea kwa Mola akulinde na mabaya ya maadui zako.
Mwakyembe for president 2015.
Big up Mwakyembe
 
Wewe ndo hamnazo sasa huoni hao walinz ndo watasaidia upelelez ulitaka amfukuze mama yako au.NYAU MKUBWA WEWE
 
Julio lakini lazima tujiulize maswali ya msingi sio kusia tu. Kwani unga unapoingia unapitia wizara gani? Kwa nini asianze na wanaoingiza kwanza halaf tuone hao wanao utoa wataupata wapi? Ni kweli at list yeye mwakyembe kuliko hata rais wetu km ana majina muda wote huo kakaa nayo tu! Ushauri afanye ukaguzi hata watu wanapoingia inchini, ukifikiria kwa makini na mwenendo mzima ina maana uingiaji wa madawa ya kulevya inchi ni mkubwa kuliko utokaji. Binafsi sijawahi sikia mtu kakamatwa akiingiza mihdarati inchini, hilo ni janga.
 
Kazi ya kufuatilia mizizi ni ya nchimbi mwakyembe anadili na maovu yaliyofanywa kiwanja cha ndege , nadhani ungeshughulisha akili yako kabla ya kuanzisha thread hii, na umedhihirisha upumbavu wako

Tatizo ni nini? Mh hafanyii kazi kwenye vacuum. kama kweli alikuwa serious! angejipanga na sirikali yao. au utapinga na hilo utakuwa uraia haujasoma!
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Wewe ni mbumbumbu, haya mambo yanaenda hatua kwa hatua, kwanini watu wasimpongeze waziri kwa hatua anazochukua? Tumpongeze babu yako katufanyia nini?
 
wewe usiyeona makubwa aliyoyafanya ndo hamnazo!
nipo tayari kuitwA hamnazo, but mwakyembe is the great! Alfa and omega!
ukiona huoni ulichofanya your the blind! get out of your shell!
 
Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani.

Sasa wewe Mkuu maoni yako binafsi ndio unataka kufanya msingi kwamba wote wanaomsifu Mwakyembe ni hamnazo?

Sikiliza, ikiwa dunia nzima hii wote tukaondoa pua na wewe na wenzio watano ndio mkabaki nazo, basi wewe na hao watano ndio mnakuwa na ulemavu wa pua, sio sisi wengi tuliozitoa.

Kwa jinsi hiyo basi, kwa kuwa ni wewe na wengine wachache wanaoona kumsifia Mwakyembe ni kuwa hamnazo, wewe na wenzio ndio mlio hamnazo!
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Wewe umetumwa na wewe NDIYO HAMNAZO. Mwakyembe kazi yake siyo kukamata au kufuatilia wauza unga wakubwa. Kazi yake ni kuhakikisha viwanja vya ndege havitumiki vibaya kama kupitishia madawa ya kulevya kwani ndiyo vipo chini ya mamlaka yake, Watu wanapopitishia madawa hapo, yeye na wizara yake inaonekana hawafanyi kazi. ndo maana anadili na wanaowasaidia kupitisha ili waache tabia hiyo. Wanaopaswa kukamata mapapa ya dawa za kulevya ni wizara nyingine. Kila mtu akiwajibika sehemu yake haya mambo yatakwisha. Acha kutuletea upuuzi wako humu, walokutuma hawana akili kama wewe
 
Wewe ni mbumbumbu, haya mambo yanaenda hatua kwa hatua, kwanini watu wasimpongeze waziri kwa hatua anazochukua? Tumpongeze babu yako katufanyia nini?

punguza munkari tetea ukweli wa moyo usidhani kama babu yako asingekuwa mwadilifu we ungezaliwa.Wazazi wako huenda wangekuwa mateja.Panuka akili think twice hali ikiwa hivi miaka ya karibuni itakuwaje.
 
ukitaka kujua uelewa wa Watanzania waambie ukweli tu hakuna atakaye kuelewa.

yani wewe sasa unalazimisha kuelwa mambo ambayo huyajui ripot ya polisi ni kwamba dhihara ya mwakyembe imefanikisha kupata ushahidi wa kutosha ya kuwanasa hao papa unaowasema hapakuwa na jinsio zaidi ya kuanza na ushahidi visible wao ndo wameonesha njia tena ilikuwa kazi paka mbinu za kipolisi ilibidi zitumike kwa wale wenye ujuzi wa haya mambo watakuwa wanaelewa na maanisha nn.ama acha kuwa na upeo mdogo kama mwanga wa kibatali
 
Mkuu tongi umejidhalilisha sana kwani umeshindwa hata kujua mamlaka ya mwakyembe na ya nchimbi. I doubt ur educational level

mkuu incharge tatizo watu wajui haya mambo ya investigation na upeo nao ni tatizo.katika hili lazima uanzie mwanzo wa tatizo ndo ufike chimbuko la tatizo.hapa hata kama ulitumwa pia ni mtuhumiwa nao wanastahiri kuwajibishwa tena ript ya polisi inasema hawa jamaa baada ya kukamatwa wameonesha vinu viliko na hao mapapa tena wanasema ilikuwa si kazi rahisi kufunguka.mwakyembe kwa nafasi yake kwakuwa wizara yake ndio uchochoro imempasa kufanya hivyo swala la nchimi ni lingine yy ni sasa ataingia hapa kwenye offences lakin ikumbukwe kwamba huo ndio uzalendo na uwajibikaji ktk mambo tofauti kulingana na mazingira mwakyembe deserves respect on this
 
Last edited by a moderator:
TOPIC yako haina mashiko rudi tena darasana huo ni mwanzo na wewe kama unafanya hiyo kazi ya kusaply madawa acha maana one day utaumbuka acha siasa uchwara malaya poli we coz kafanya kazi nzuri kwanin tusimusie samahani lakini kwa kukutukana coz topic yako imeniuzi
 
leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h mwakyembe! Yes kausomea udoctor! Lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya jnia amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. Kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa mwakyembe kuwa ni mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia mwakyembe kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. Kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? Hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. Nilichojifunza kwa taarifa ya dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz africa kimetia doa tanzania hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. Huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

mkuu natumaini umzima
kwanza naomba niazee ulitake radhi jina la "papa"" si kwetu huku jina linatajwa umeweka kidole mdomoni yaani kwa uwoga sijuikwenu pemba
sasa basi kabla ya kuendelea embu jiulize ""bangi imeumbwa na nani""na kama dini zinasema kimtokacho

mtu ndio najisi na sio kimuingiacho
basi ulale salam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom