Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

Status
Not open for further replies.

Msabaha lk

Member
Apr 21, 2012
84
21
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana
 
Hawezi kata tawi alilolikalia wala kufanya kinyume na bosi wake,hiyo danganya toto tu kwa maana sioni haja ya kuhangaika kote huko wakati mkuu wake ana majina kwenye makabrasha ya pale magogoni.
Ameshindwaje kuomba nakala yake kama kweli yuko serious,serikali inaamini kwamba viongozi pekee wa CCM wanaoaminika kidogo mbele ya umma wa waTanzania ni Mwakyembe na Magufuli na ndio hao inaowatumia kwenye ujanja ujanja wa kuwaaminisha kirahisi wale wasiojisumbua kufikiri.
 
Msabaha lk, una lako jambo.
Huo ni mwanzo mzuri
Namuunga mkono Mwakyembe kwani ni yeye pekee ndani ya CCM aliye na ujasiri wa kuwasema wanaojihusisha na biashara ya unga.
Kama una wafahamu wamiliki wa unga uliokamatwa OR Thambo si umtajie basi ili awashughulikie?

Last edited by a moderator:

Mwakyembe ana mahusiano mazuri kiasi gani na mkuu wake hadi apewe hiyo orodha?
Mwakyembe amekuwa akilalamikia kuhujumiwa uhai wake kwa muda mrefu, je huyo mkuu wake alimsaidia vp?
 
Nafikiri hujamuelewa. Amesema wameachishwa kazi then watapelekwa kortini na ataifuatilia mwenendo wa kesi. Hope washitakiwa watataja walioko nyuma ya huo mpango.
 
Kwanini usianze kulaumu yule aliyetibu teja bila kumuuliza madawa alikuwa anapata toka wapi. Huyu kathubutu wewe waja juu. Ebu acha hizo aarrgh

Uko sahihi Mkuu !! Hili ni Janga na Vita Yetu Sote itupasayo tuipigane kwa Pamoja. Yeye kathubutu nasi tumuunge Mkono !!
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Join Date: 21st April 2012
Posts: 69
Rep Power: 383
Likes Received: 10
Likes Given: 0

Kulingana na fact sheet yako hii; to expect more from you is the equivalent of trying to squeeze a ROCK with the expectation that you will get WATER!! aaaaaaagh! Total BS!
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Utakuwa muuza unga wewe
 
Mwakyembe ana mahusiano mazuri kiasi gani na mkuu wake hadi apewe hiyo orodha?
Mwakyembe amekuwa akilalamikia kuhujumiwa uhai wake kwa muda mrefu, je huyo mkuu wake alimsaidia vp?
Basi hawa jamaa ni hatari kweli kweli kwa unafiki aiseh yaani mahusiano yao si mazuri lakini bado wanapeana mashavu makubwa kama hayo!
Kwa hiyo Mwakyembe ana report kwa nani?
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana
Mzee nadhani unamfahamu sana dk. kwani moja ya sifa zake ni kuwa yuko obsessed na umaarufu wa kisiasa. With due respect yeye siyo team player [ananikumbusha Mrema] Aliahidi angetaja vigogo wa unga lakini alichokifanya ni kutaja 'punda' ambao hutumika kubeba mizigo hiyo.
 
Mi nakubaliana na wanaomponda mwakyembe coz, huwezi anza na vidagaa ukiacha mapapa. Mwekyembe ndo anatumia kuihalalisha CCM kwa wananchi. Waagizaji ni watu wa jikon, hawezi wafanya lolote.
 
Msabaha lk, una lako jambo.
Huo ni mwanzo mzuri
Namuunga mkono Mwakyembe kwani ni yeye pekee ndani ya CCM aliye na ujasiri wa kuwasema wanaojihusisha na biashara ya unga.
Kama una wafahamu wamiliki wa unga uliokamatwa OR Thambo si umtajie basi ili awashughulikie?
Kaka hivi ujumbe ukiwa mbaya wakulaumiwa ni nani? Je waweza mlaumu mpeleka ujumbe na kumwacha mtuma huo ujumbe?. Dr Mwakyembe hapo analaumu wapeleka ujumbe wakati watunga ujumbe wanakunywa soda baridi tuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom