Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Kweli kabisa. Viongozi wetu hili jambo hawaliwezi, hivi tokea wakamatwe wabeba UNGA huo pana kesi ngapi mahakamani? Hii ni sawa na kutumia nguvu nyingi kumtibu mtu aliyejikwaa na kuacha kung'oa kisiki njiani.Mi nakubaliana na wanaomponda mwakyembe coz, huwezi anza na vidagaa ukiacha mapapa. Mwekyembe ndo anatumia kuihalalisha CCM kwa wananchi. Waagizaji ni watu wa jikon, hawezi wafanya lolote.