Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

Status
Not open for further replies.
Mi nakubaliana na wanaomponda mwakyembe coz, huwezi anza na vidagaa ukiacha mapapa. Mwekyembe ndo anatumia kuihalalisha CCM kwa wananchi. Waagizaji ni watu wa jikon, hawezi wafanya lolote.
Kweli kabisa. Viongozi wetu hili jambo hawaliwezi, hivi tokea wakamatwe wabeba UNGA huo pana kesi ngapi mahakamani? Hii ni sawa na kutumia nguvu nyingi kumtibu mtu aliyejikwaa na kuacha kung'oa kisiki njiani.
 
Mzee nadhani unamfahamu sana dk. kwani moja ya sifa zake ni kuwa yuko obsessed na umaarufu wa kisiasa. With due respect yeye siyo team player [ananikumbusha Mrema] Aliahidi angetaja vigogo wa unga lakini alichokifanya ni kutaja 'punda' ambao hutumika kubeba mizigo hiyo.
Kaniacha hoi kwelikweli. Pana matatizo lukuki TRL na TAZARA hayana ufumbuzi sasa kawarukia wapitisha mizigo ya UNGA pale uwanja wa ndege tena ni walinzi tuu, labda anautaka UNAIBU WAZIRI MKUU kama alivopewa Lyatonga Mrema.
 
Kazi yake sio kukamata wauza unga bana yeye anacheza na wanaokatisha utaratibu wa ukaguzi ndo wako chini yake!!!!!!

Alichonikera mimi ni kuwaacha wazito wa hapo uwanjani wakidunda
 
Mi nadhani Watanzania kama wana hasira dhidi ya biashara hiii haramu ya Madawa ya kulevya mtu wa kuwajibika hapa ni Emmanuel Nchimbi ambaye ni Waziri wa mambo ya ndani.Hatujamuuliza ni kwa nini haonyeshi juhudi zozote za kukabiliana na kadhia hii.Lakini ukiangalia swala hili halafu ukalihusisha na hali ya Chaguzi zetu za kisiasa ukweli unaonekana kuna watu wanatafuta hela kwa ajili ya kujiandaa kununua wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi ujao,vilevile kuna uwezekano wa baadhi ya vyama vya siasa kufadhiliwa na pesa za biashara hii.
 
anaweza asiwe na shujaa sana wa vita vya dawa ya kulevya, ila katika taifa ambalo dola yote imekaa kimya na sauti ya mtu mmoja Mwakyembe kusikika bila shaka huyu ni hodari kuliko wote katika serikali hii.

kama Ikulu na vyombo vya dola vingekuwa nyuma yake tegemea leo magwiji wote wa madawa hayo wangekuwa ndani...
 
Me nafikiri tusimoonde sana ila tumshauri zaid, movie alizoangalia ni za kutoa mzigo bongo kwenda Nje. Na hata uliokamatwa south Africa ulitoka Tanzania. Swali je Tanzania kuna mashamba ya heroine au cocaine? Km tulivyoona mashamba ya bangi? Jibu hakuna. Na je kwa nini asitafute movie nyingine wakati shehena hizo zinaingizwa nchini? Na hapo itasaidia kujua jinsi wanaingiza kwa kuwa tumejua ni jinsi gani wanaingiza. Huwezi angalia outlet peke yake bila inlet halaf ukatoa jibu, itakuwa hakuna uwiano.

Na pia km Rais ana majina muda mrefu na amekaa nayo tu haikuwa na haja ya mwakyembe kutumia msuli kiivyo ili hali kila kitu kipo mjengoni. Na je hayo majina aliyoyataja mwakyembe ni sawa na yale aliyokuwa nayo mheshimiwa Rais? Na kwa nini Rais hakuna umuhimu ya kuwataja mapema ili km yameongezeka ndio tujue mwakyembe nae kapambana kuongeza wengine ambayo rais aliwasahau. Na katika majina aliyoorodhesha mwakyembe, ndio kamaliza au ataendelea?
 
Mwanzisha mada unalalamika kwamba Mh. Mwakyembe kakamata dagaa na kuacha papa lakini unasahau yeye ni waziri wa uchukuzi na ana deal na watendaji kwenye idara za wizara yake. Ameshawataja dagaa waliohusika ni jukumu la wizara nyingine (mambo ya ndani) kuhakikisha wale dagaa waliokamatwa wanawataja papa. Mwakyembe anachokifanya ni kuhakikisha JNIA haipitishi madawa au kama yamekamatwa nje kutokea hapo basi watendaji wanawajibishwa kwa kusimamishwa kazi na kuachia vyombo vya sheria vifanye kazi.
 
leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h mwakyembe! Yes kausomea udoctor! Lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya jnia amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. Kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa mwakyembe kuwa ni mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia mwakyembe kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. Kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? Hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. Nilichojifunza kwa taarifa ya dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz africa kimetia doa tanzania hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. Huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

wewe inaonekana ni muuza unga......sasa umekosea pakutokea unaleta ulojo wako jf......
 
Join Date: 21st April 2012
Posts: 69
Rep Power: 383
Likes Received: 10
Likes Given: 0

Kulingana na fact sheet yako hii; to expect more from you is the equivalent of trying to squeeze a ROCK with the expectation that you will get WATER!! aaaaaaagh! Total BS!

Sishangai sana kwani kwa Akili ulizonazo unadhani mtu mwenye mnvi ndo mwenye akili! thats why unaangalia mtu kajiunga lini. ila kwa mtu timamu huwezi danganyika.
 
Mwanzisha mada unalalamika kwamba Mh. Mwakyembe kakamata dagaa na kuacha papa lakini unasahau yeye ni waziri wa uchukuzi na ana deal na watendaji kwenye idara za wizara yake. Ameshawataja dagaa waliohusika ni jukumu la wizara nyingine (mambo ya ndani) kuhakikisha wale dagaa waliokamatwa wanawataja papa. Mwakyembe anachokifanya ni kuhakikisha JNIA haipitishi madawa au kama yamekamatwa nje kutokea hapo basi watendaji wanawajibishwa kwa kusimamishwa kazi na kuachia vyombo vya sheria vifanye kazi.

sijakataa ila haisaidii ni sawa na mwenzake Magufuli anavizia wavuvi baharini na ziwani na kuchoma nyavu zao wakati viwanda viko humuhumu na vinatoa nyavu zenye usawa uleule then tuuite uchapakazi! NO hiyo ni danganya toto.
 
Mwanzisha mada unalalamika kwamba Mh. Mwakyembe kakamata dagaa na kuacha papa lakini unasahau yeye ni waziri wa uchukuzi na ana deal na watendaji kwenye idara za wizara yake. Ameshawataja dagaa waliohusika ni jukumu la wizara nyingine (mambo ya ndani) kuhakikisha wale dagaa waliokamatwa wanawataja papa. Mwakyembe anachokifanya ni kuhakikisha JNIA haipitishi madawa au kama yamekamatwa nje kutokea hapo basi watendaji wanawajibishwa kwa kusimamishwa kazi na kuachia vyombo vya sheria vifanye kazi.

unataka kujua vyombo unavyoviita vya sheria vinafanyaje kazi? kamuulize Babu Seya na Wanawe watekueleza sheria ya Tanzania inavyofanya kazi.
 
Kaka hivi ujumbe ukiwa mbaya wakulaumiwa ni nani? Je waweza mlaumu mpeleka ujumbe na kumwacha mtuma huo ujumbe?. Dr Mwakyembe hapo analaumu wapeleka ujumbe wakati watunga ujumbe wanakunywa soda baridi tuu.

Ndo hivyo na vita ya kweli si kugombana na vibarua wakati mwenyeshamba ukimwona unampa shikamoo!
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Mkuu! Hapo amekupa high level overview ya tatizo zima.
Kinachofuatia ni utekelezaji. He doesn't need to go into details.
Mpe muda and time will tell
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Mkuu vita hivi sio vya Mwakyembe peke lazima ujue hilo kabla ya kuanza kumponda. Na siku zote kila mtu ana pa kuanzia, sio lazima afanye kama unavyotaka wewe kwani huo ni mtizamo wako na Mwakyembe ana namna yake ya kufanya kazi. Kama inakuuma sana kama unavyodai kwa nini usimpe ushauri Mwakyembe badala ya kukaa tu ukiumia? Watu wakifanya kazi malalamiko, wasipofanya malalamiko, lipi jema kwetu sisi binadamu? Mwakyembe kaanza apewe support hilo ndilo la maana kuliko kuponda tu na kulalamika.
 
Mwakyembe ana mahusiano mazuri kiasi gani na mkuu wake hadi apewe hiyo orodha?
Mwakyembe amekuwa akilalamikia kuhujumiwa uhai wake kwa muda mrefu, je huyo mkuu wake alimsaidia vp?

mnafiki tu huyo kama yeye na tajiri wake anaona apewi ushirikiano siachaze kazi aje atuambie watanzania.
 
Jamaa anatumiwa na watu wa sembe nini?,juhudi hizi zitatakiwa zipongezwe.

Mi nadhani hatuelewani kumpongeza waziri si vibaya ila kulikuwa na haraka gani kututangazia walinzi wakati uchunguzi umefanywa? Tulitegemea mizizi ya madawa ya kulevya ikatwe we unadhani kwa kuwafukuza walinzi kazi inasaidia nini? kesho utawekwa wewe na mfumo mzima utakumeza utayapitisha madawa ya kulevya kama huna akili nzuri. unaijua sababu? utakuwa usha adhirika na UNGA Hii ni sababu ya DOA tulilopatiwa na akina MASOGANGE. Serikali inajikosha kwenye vyombo vya kimataifa. Nani hajui
 
Yaani punguani kabisa, sasa ulitaka hao walinzi awaache, kama kitabu ndio kwanza kiko kwenye dibaji wewe unataka kutulazimisha twende kwenye ukurasa wa mwisho, hao walinzi ndio watatumbia nani walikuwa wanamuogopa, la sivyo wakubali mtondoo segerea
 
kweli kabisaa.. yaani unakamata washika pembe na unaacha walikubuhu. hakika mwakyembe bora unge kaa kimya tu tukuelewe kwani una haibisha andiko lako la "Ph.D" .
 
Kazi ya kufuatilia mizizi ni ya nchimbi mwakyembe anadili na maovu yaliyofanywa kiwanja cha ndege , nadhani ungeshughulisha akili yako kabla ya kuanzisha thread hii, na umedhihirisha upumbavu wako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom