Ifike muda tuambizane ukweli hata kama hatupo tayari kwa hilo.

Samia Urais hauwezi na sio Urais hata uwaziri na cheo cha kuongoza watu kwake ni mzigo mzito.

Kama atapata bahati ya kusoma huu ujumbe au kufikishiwa huu ujumbe atambue fika kuwa Urais kwake ni zigo zito.

Sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi wa umma, siongei haya kwa sababu ya chuki yoyote bali kwa mengi nayo fahamu kuhusu viongozi wa taifa namna wanavyopaswa kuwa.

Taifa letu sasa lilipo fika sio taifa la majaribio tena limekwisha kua lina umri mkubwa halina uchanga wowote tena ni vyema viongozi wachaguliwao wakaenenda na ukubwa wa taifa letu.

Kwa wale watakaoweza kumuambia ukweli wamwambie nafasi aliyonayo ni kubwa kwake pasipo kujali maneno ya wanafiki wanaompamba.

Kwa mataifa yaliyo makini Samia alipaswa aziishi ndoto zake za kuwa muhudumu wa ndege basi ila kwenye uongozi hapana anapwaya sana.

Ni vyema ukweli kutamkwa.
Wewe una chuki zako tu. Rais Samia anaenda vizuri tu. Ikumbukwe hakuwa amejiandaa lakini amejitahidi kwa kiwango kikubwa. Kama huwa anapitia threads za JF namshauri awapuuze wapuuzi Kama nyie. Go Samia go! Watanzania tunaojitambua tuko pamoja na wewe!!
 
Hilo ni kweli hasta Kuta za siri za Taifa hili zinanong'ona kama una masikio unazisikia kabisa!!

Ni vile uchawa umefanywa kama ajira!lakini miti,mawe,mchanga,maji na nature vimegoma kabisa kama marehem jpm vilivyomgomea hadi akaanza kusema wakati was kampeni kwamba "Mzee mwinyi mlimpa awamu mbili,Mzee mkapa mkampa awamu mbili,na kiwete mkampa awamu mbili,Sasa kwanini mimi mnataka kunipa awamu moja"!!!?

Alisema hivyo wakati anauhakika was kushinda lakini nature ilikua inamwambia Mzee wewe ni WA awamu moja lakini hakusikia!!

RIP mzalendo wetu
 
Sina chuki nae hata kidogo na wala sitaki kumpamba kwa unafiki kwa kitu hasichoweza hata kidogo nitakuwa nawakosea Watanzania zaidi ya miln 61
 
Hilo ni kweli hasta Kuta za siri za Taifa hili zinanong'ona kama una masikio unazisikia kabisa!!

Ni vile uchawa umefanywa kama ajira!lakini miti,mawe,mchanga,maji na nature vimegoma kabisa kama marehem jpm vilivyomgomea hadi akaanza kusema wakati was kampeni kwamba "Mzee mwinyi mlimpa awamu mbili,Mzee mkapa mkampa awamu mbili,na kiwete mkampa awamu mbili,Sasa kwanini mimi mnataka kunipa awamu moja"!!!?

Alisema hivyo wakati anauhakika was kushinda lakini nature ilikua inamwambia Mzee wewe ni WA awamu moja lakini hakusikia!!

RIP mzalendo wetu
Ni vyema kusema ukweli
 
Na anauroho wa madaraka Kila afanyacho anawaza uraisi. Kabadili ma DC,RC nk. kisa kuwaza uchaguzi mwakani wala hajali gharama kuuubwa serikali inayoingia.
Hoja ya watu kuacha kujipitisha kabla ya uchaguzi anaivunja maana yeye ndowakwanza kuchangisha Hela za fomu kinyemela...kama nihivyo basi wabunge nao waanze kuchangisha fedha za fomu!!
Nimuhimu viongozi wawe mfano Kwa kufata Sheria sio kuvunja Sheria Kwa kujiona hawagusiki/hawashtakiki
 
Usipende kuropoka ropoka tu ilimradi uonekane umezungumza. Kwanza uwe na adabu na heshima kwa Rais Wetu.

Rais Samia Ni Kiongozi ambaye kama Afrika ingekuwa ni nchi moja basi Rais Samia angechaguliwa kwa kishindo kuwa Rais wake.anao uwezo wa kuongoza Taifa lolote lile na likapata maendeleo makubwa kama tuliyoyapata.

Ndio maana ni katika uongozi wake tumeshuhudia ukamilishwaji wa miradi mikubwa mikubwa katika Historia ya Taifa letu ,miradi hiyo ni pamoja na bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litatupatia megawati 2115 sawa na megawati zinazozalishwa katika mabwawa mawili ya kidatu megawati 204 pamoja na mtera megawati 80.

Ni Rais Samia ameweka historia katika macho ya watanzania kushuhudia treni ya umeme ikitembea katika ardhi ya Taifa lao.

Ni Rais Samia ameweka rekodi ya kutoa Elimu bure mpaka kidato cha sita kwa kutoa billion 33 kila mwezi,huku mikopo ya elimu ya juu ikitolewa kwa kila mwanafunzi mwenye sifa.ni Rais samia amekifanya kilimo kuwa kimbilio la watu baada ya kukipa thamani na kuja na kauli mbili ya kilimo ni biashara.pamoja na kupandisha bajeti kufikia Billion mia tisa 70.
Ni Rais Samia amewafanya watumishi wa umma kufurahia utumishi wao wa umma badala ya kuona kama ni kazi ya kitumwa.hii ni baada ya kuwapandisha madara kwa mserereko pamoja na kuwalipa malimbikizo ya madai yao.kutoa ajira kwa maelfu ya vijana.

Kujenga vyumba vyamadara zaidi ya elfu 30 na hivyo kufanya katika Historia wanafunzi wote kuripoti shuleni kwa wakati mmoja.kujenga vituo vya afya kila kona ya nchi yetu .kutiririsha zaidi ya trilioni sita katika Secta ya Afya na hivyo kufanya huduma mbalimbali kupatikana hapa hapa nchini badala ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi ambako wanyonge walikuwa hawawezi kumudu gharama zake.

Kutoa zaidi ya Billion 250 kama Ruzuku katika kilimo,kuongeza mapato kwa mwezi bila kukimbizana wala kufungia biashara za watu.kuimarisha uchumi na kujenga uchumi shirikishi ambao unawagusa watu moja kwa moja.

Kujenga miundombinu mbalimbali ya barabara katika kufungua fursa za kiuchumi.mfano kunakwenda kujengwa barabara ya njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe yenye urefu wa 237.9KM ambazo zitaongeza kasi usafirishaji,kuondoa foleni pamoja na kupunguza ajali za barabarani hasa za malori kufeli breki na kwenda kugonga magari ya abiria na madogo na kusababisha ajali.maana sasa kila magari yatakuwa yanapita njia yake.

Miradi ya maji Inaendelea kutekelezwa maeneo mbalimbali nchini.

Naomba niishie hapa. Nitarejea muda siyo mrefu
Barbara mashule vyote alianza kumjengea mkoloni na wanatujengea mpaka Leo pimbi wewe
 
Umeandika quote au uzi kabisa
 
Lucas naona unajipa haki ya kuropoka ropoka huku unawanyima wengine haki hiyo.

Tulia dawa iingie
 
Kuwa na Adabu ni kuwa Chawa chawa na kusifia kila kitu hata kama hakiko sawa? Ukweli usemwe! Kiatu cha Urais ni kikiubwa sana kwa mama. Ila kwa sababu hili Taifa limekuwa la Wanafiki wengi hakuna jinsi.
 
Pumba tupu kudadeki
 
Rais Samia Ni Kiongozi bora katika viongozi wote waliopo barani Afrika kwa sasa.ni kiongozi mwenye maono na akili kubwa sana .
 
Barbara mashule vyote alianza kumjengea mkoloni na wanatujengea mpaka Leo pimbi wewe
Rais Samia ameimarisha demokrasia,kakuza uchumi na kujenga uchumi shirikishi wenye kumgusa kila mtanzania.amewezesha kila mtanzania kujikwamua kiuchumi,kutokana na mazingira wezeshi na mazuri katika kila mmoja wetu kuweza kutimiza ndoto zake
 
We njaa inakukimbiza tu
 
Kesha sema hataki sifa za kijinga mkawasifie Mama zenu waliowazaa
 
Back
Top Bottom