Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namufikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

mussa victor

Senior Member
Jul 12, 2015
116
161
By darasa la Mapenzi

Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao...


Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ? Naombeni Ushauri
 
Siku umeshindwa kumpandisha kileleni, umekwisha my friend..

"watch it......" in Magu voice..!!!
 
kakwambia nani wote walio kwenye ndoa wanapendana?..wengi walio kwenye ndoa ni kwa sababu mbalimbali ila sio mapenzi..wengine ni financial security,wengine ni hitaji la mke/mme,wengine ni kwa sababu za umaarufu nk..hivyo usishangae kuwa huyo hakupendi ila kwa vile gemu unachapa bila masihara ataridhika hivohivo..

lakini kama moyo wako unahitaji mwanamke mwenye mapenzi basi mpotezee huyu mchumba wako..hata ukipata wa kukupenda bado atakufata huyu ili umpe gegedo la kumridhisha......pia,usimwache kizembezembe..niunganishe nae ili mtoto wa watu apokee mafunzo na ushauri wa uhakika
 
Sasa kama hakupendi, ilikuwaje mpaka mkagegedana?
Funguka vizuri mkuu....
wengine huanza kama FWBs.. yani friends with benefits..hapa mapenzi hayahusiki kabisa ila wanawake wana maajabu yao..si jambo la ajabu kufundua keshakudondokea..
 
So inamaana wakati anakukubalia kuwa nae kimahusiano,napo ulimfikisha kilelen ndo akakukubaliaaa.

Ushauri wangu.

Mchunguze sana huyo rafq yake anaekuletea habari za huyo mchumba wako,

Usikute yy nae anampango wake na hajiskii vzr kuwaona mko wote.

Ahsant.
 
Mh huyo shoga wa mpenzi wako atakuwa na lake jambo.

Halafu mazungumzo gani yaliyopelekea akueleze hayo??!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom