Ananiboa, Eti masturbation inamtosha......!!!

Nina demu wangu niko nae kwa mwaka wa pili sasa. siku za karibuni amenijia na suala jipya kiasi ananichanganya. Ni mara ya tatu sasa kila ninapotaka kummega anadai hajisikii hamu, mwanzo nilidhani ni uchovu wa kazi zake, lakini baada ya kumsumbua sana akadai kuwa yeye hujichua kiasi ambacho anapokuwa na mimi hamu ya kufanya mapenzi huwa inatoweka. Lakini demu nampenda sana hata anachonieleza naona kama ananivunga huenda amepata jamaa lingine. Simuelewi kabisa....
mtu wangu huyuo demu kagutuka.hivi unampango gani nae,kummega tu hadi lini?inavoonekana swala la kuoa halipo moyoni mwako.kapata wa kumwowa huyo nashauri uachane nae unamwaharibia future yake.
 
..Mkuu na wengine mliochangia hapa. suala kuwa simfikishi si kweli kwani katika muda niliokuwa nae alipata shughuli anayostahili kiasi kwamba alikiri kwa mdomo wake kuwa moto ninaompelekea ni kiwango. Katika mazungumzo yetu niliwahi kumbana sana kwa maswali kwa nini anajichua na mimi nipo akadai kuwa alijifunza kupitia videos na story za rafiki zake. Lakini nikamuuliza unadhani unachofanya ni sahihi akadai kwa akili yake ni sawa!!!! Very strange!!!!

Laligeni mwenzio nilijuaga wewe ni mdada nisamehe shem.

Sasa hapo kwenye red shem inawezekana alisema tu kukuridhisha kwani mara nyingi sio wanawake wote wenye uwezo wa kukwambia live kuwa humtoshelezi. Na ndio maana kuna suala la kufake raha.

Ila majibu ya dada ni ujumbe tosha kuwa hakuhitaji tena na inawezekana kabisa kujichua ikawa ni sababu tu ya kutokea huwenda anaye mkunaji.

Hebu mwambie unataka kuona anavujichua au unataka mjichue wote pamoja.
 
Nina demu wangu niko nae kwa mwaka wa pili sasa. siku za karibuni amenijia na suala jipya kiasi ananichanganya. Ni mara ya tatu sasa kila ninapotaka kummega anadai hajisikii hamu, mwanzo nilidhani ni uchovu wa kazi zake, lakini baada ya kumsumbua sana akadai kuwa yeye hujichua kiasi ambacho anapokuwa na mimi hamu ya kufanya mapenzi huwa inatoweka. Lakini demu nampenda sana hata anachonieleza naona kama ananivunga huenda amepata jamaa lingine. Simuelewi kabisa....

Nionavyo mimi ni kwamba huyo mdada amekugutukia kwani unataka kummega tu ili umpotezee muda wake bure.Mpango wa kuoa umeshamweleza?kama bado kapata mtu alomwahidi ndo maana anakubania kwa visingizio vya masturbation.
 
Laligeni mwenzio nilijuaga wewe ni mdada nisamehe shem.

Sasa hapo kwenye red shem inawezekana alisema tu kukuridhisha kwani mara nyingi sio wanawake wote wenye uwezo wa kukwambia live kuwa humtoshelezi. Na ndio maana kuna suala la kufake raha.

Ila majibu ya dada ni ujumbe tosha kuwa hakuhitaji tena na inawezekana kabisa kujichua ikawa ni sababu tu ya kutokea huwenda anaye mkunaji.

Mwj'1!!! duuuh, sijakusoma siku nyingi au mimi tu kwakuwa siingii sana jamvini?
anyway, nimependa maoni yako hasa hapa :D
Hebu mwambie unataka kuona anavujichua au unataka mjichue wote pamoja.

...yataka moyo!!!
 
Shem mbona nipo ingawa si kwa viiile but nipo maana JF ni pumzi yangu ati. Happy New Year!!

...yataka moyo!!!

Hapana shem ni makubaliano tu. Si unataka kujifunza anafurahia vitu gani? Inawezekana foreplay inayomstarehesha iko kwenye kifua wakati wewe huwa unakazania kuchezea nyuzi kiunoni ukidhani unamsisimua na yeye kusema hawezi. Si bora akuonyeshe kwa vitendo shem au?
 
Afu wewe! Wewe! Haya bana! Inamaana jamaa bado sana au? Hahahaha!
 
Demu wako ni Lesbian !

......No si lesbian huyu mdada, ila kuna vitu kavikosa kutoka kwa huyu mwanaume.
Hebu jitahidi kuwa mtundu wewe Laligeni, vp umeshawahi kutumia vichochezi vya penzi kama asali au vanilla? Hebu jaribu hii kitu labda utamuweka sawa, maana sisi wadada baadhi yetu tuna aibu kumfundisha mwanaume jinsi ya kutumia vichochezi hivyo.
 
Xpin darling mbona kama unanidongoa mwenzio? jamaa gani tena mbona tunazibiana rizki lakini mpwa? 2010 hii best acha izo bana!!
Sikuzibii bana! Wewe tena? Hahaha labda wengine. Namaanisha mwenye thread umesema anang'ang'ana na nyuzi kiunoni kumbe bibie maruhani yapo kwa kifua. Ina maana jamaa bado sana kiasi kwamba hajatesti zali maeneo yote nyeti? Hapo kwenye bold inaelekea mwalimu wako wa kiswahili O-level alikuwa na mwanafunzi bora sana. Nikichanganya na zile tenzi zako....... LOL!
 
Hapana Xpin inawezekana jamaa alishagusa kote but si unajua tena inawezekana kuna conflict of interest hapa jamaa anaprefer zaidi nyuzi si unajua hata yeye maruhani yanampanda anapoziona tu sembuse kugusa? sasa wifey si kwa sana. So asijisahau mimi namshauri amwombe aperform mbele yake ili aone anakoseaga wapi!!
 
Laligeni mwenzio nilijuaga wewe ni mdada nisamehe shem.

Sasa hapo kwenye red shem inawezekana alisema tu kukuridhisha kwani mara nyingi sio wanawake wote wenye uwezo wa kukwambia live kuwa humtoshelezi. Na ndio maana kuna suala la kufake raha.

Ila majibu ya dada ni ujumbe tosha kuwa hakuhitaji tena na inawezekana kabisa kujichua ikawa ni sababu tu ya kutokea huwenda anaye mkunaji.

Hebu mwambie unataka kuona anavujichua au unataka mjichue wote pamoja.

Ni kweli MJ1; huyo dada keshamchoka mtu wetu!!!
 
Hapana Xpin inawezekana jamaa alishagusa kote but si unajua tena inawezekana kuna conflict of interest hapa jamaa anaprefer zaidi nyuzi si unajua hata yeye maruhani yanampanda anapoziona tu sembuse kugusa? sasa wifey si kwa sana. So asijisahau mimi namshauri amwombe aperform mbele yake ili aone anakoseaga wapi!!

Hahaha! Wewe! Mj1 leo umeamkia upande gani? Yani apige puli laivu siyo? Huku jamaa anaangalia? Twisheni au? Na maruhani yakimpanda somo si litaishia katikati?
 
hapa greti thinka umemwagwa kisayansi! inabidi uwe jasiri kukubali ukweli azawaizi balaa liko njiani. nampongeza dada kwa kutumia lugha ya hekima kukumwaga. wengine wanamwagwa kwa kupewa laivu bleki endi waiti. pole sana!
 
Mpwa hii ndo lengo hasa si ndio kilio cha jamaa au?

Hahaha! Kweli vilio vingine si mchuzi! Dah! Yani mchuchu uko kwenye sita kwa sita, mzee mzima anataka kumega mshosti anampa stori za kupiga puli! Dah! Mungu apitishe mbali, manake kubaka hapo lazima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom