Anajuta kuwa mtoto wa waziri!

Umefanya Jambo jema , tunasubiri mwendelezo kama uliwahi kuishi Good moment then ghafla ujikute upo hauna kitu lazima upate msongo wa mawazo hapo bila kupata Mtaalamu wa kukuvusha you must end up being drunker.
 
Sema magu aliwakomesha wengi asee. Kifo chake kimewaponya mafisadi na wafanyabiashara wengi pia
 
Wana Jami forum naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne.

Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima . Nimekutana naye ugaibuni kwenye jiji maarufu, NY. Huyu baba Nimekutana naye kwenye Hari ya kusikitisha. Mimi huwa ni mtu ambaye Sina marigo huwa na ongea na watu wa kila Aina.

Hasa huwa na napenda kusalimia watu waliopo kwenye Hari ya chini kabisa kimaisha kama homeless. Sasa Leo nikiwa natarii kidogo kwenye jiji la New York wakati nikiwa natafuta hiki na kile kwaajiri ya safari yangu ya kurudi Nyumbani. Ni kaona mahomeless wame kaa kwenye kijiwe Chao karibu na times Square.

Mimi nikajisikia mayoni nataka kufanya kitu chema kwa mtu yoyote. Basi nikasogea pale mahomeless waliopo kuwa wamekaa. Nikaanza kuwa salimimia kwa kingeleza. Mara tu baada ya kusalimia kama watatu Kuna mmoja akaja kuongea na mimi. Akanisalimia. " what's up man." what's up brethren. "NOTHING MUCH" can you spare me some changes brother?

Nikamuuliza unataka cheji za nini. Akanijibu nataka nikusanye kusanye cheji nikanunuwe sandwich. Maana sijala tang Jana. Nikamwabia basi kama ni hivyo twende wote pale kwenye mgahawa nikununulie chakula tule wote. Nilifanya hivyo kwasababu najuwa mahomeless wengi wa naomba hela ya kula lakini wakipata hela wanakwenda kununuwa madawa ya kulevya.

Hivyo zamila yangu iliniambia nikimpa hela akaenda kununuwa madawa ya kulevya nitakuwa nimeshiriki kumharibia maisha. Basi akakubari kufuwatana na mimi kuelekea kwenye mgahawa. Sasa wakati tunatembea akaazisha maongeze kwa kuniuliza ninako tokea. Nikamwabia mimi natokea Tanzania. Basi akashituka. Tanzania! Yes Tanzania. Oh men, I got story to tell you.

Mimi ni kasema really? Akaanza kuongea kwa kiswahili kumbe wewe ni mtanzania mwezangu. Nikamjibu ndio. Basi tukawa tumefika kwenye mgawa tukaaa, na nikamwambia aagize chochote a nacho taka nitalipa. Basi akaagiza sandwich ya nyama ya kuku na chips na sada. Name nikaangiza soup ya maharage. Inatwa "chill soup" basi tukaanza kula huku tunaongea kwa kiswahili. Basi akaniambia kuwa baba yake alikuwa waziri maarufu Tanzania kwa mda mrefu Jina (kampuni).

Akanielezea history ya maisha yake yote. Na akaniambia nikifika nyumbani nisiseme Hali yake. Akaniambia alipofika kimaisha, Alisha kata Tamaa ya maisha ila angependa story yake iwekwe wazi ili iwe fundisho kwa wengine. Kwa ufupi akaniambia maisha ya utoto wake yalikuwa ya anasa Sana kwani baba Yao alikuwa ni waziri na alikuwa anaiba hela nyingi zauma kiasi kwamba nyumbani kwao waliona pesa kama makaratasi. Na hakuwahi kujuwa kuwa ipo siku atakuja kuwa omba omba. Kwenye nchi za wengine.

Kaka nakwambia tulidekeshwa Sana. Kusoma tulisomeshwa kwenye shule za kifahari. Naturiamini maisha yataendelea kuwa Mazuri. Tukiona watu masikini tulikuwa tunafikiri wamejitakia wenyewe. kwasababu kwetu hela zilikuwa Zina patikana wakati wowote tukizihitaji. Pamoja na baba kuwa na hela nyingi siku wahi kujuwa kwa nini alikuwa na hela nyingi kwani sikumuona akifanya biashara yoyote.

Kitu nilichoona kwenye utoto wangu ni kuona baba akichukuliwa na Gari na kurudi na Gari Nyumbani. Nyumbani tulikuwa na Madreva watatu mmoja wa kuendesha Watoto kuwapereka shuleni. Na mwingine wa mama na mwingine wa kuendesha baba kwenda kazini na kurudi.

Nilivyo kuja Marekani kusoma baba alikuwa ananilipia kila kitu. Nilikuwa naishi kwenye apartment ya kifahari. Ambayo baba alikuwa ananilipia kodi. Nilisoma nikamaliza shule vizuri. Ni kapata kazi kwenye kampuni nzuri, na nilikuwa na lipwa mshahara mzuri Sana. Kwasababu baba alikuwa bado anahela nyingi aliendelea kunilipia rent. Hivyo bado nikaendelea kuishi kama mtoto wa waziri. Mambo yalikuja kubadilika kwenye awamu ya tano hela kutoka nyumbani zikawa zimekoma ghafla. Maisha yakaanza kuniwia magumu. Mke wangu wa kizungu niliye kuwa nimeowana naye kwa miaka kumi tatu. akaanza ukorofi. Badaye tukatengana. Mimi ikabidi nitoke kwenye nyumba tuliyo kuwa tunaishi. Mwanamke akanipereka mahakamani kudaiwa matuzo ya Watoto. Mtoto wa waziri nikaaza KUJIFUZA kuishi kwa shida ukubwani. Nikapatwa na msongo wa mawazo nikaanza kuwa mlevi. Badaye nikashindwa kulipa matuzo ya Watoto nikakamatwa na kuweka JELA miezi mitatu. Nilivyo toka JELA nikawa nimepoteza kazi nikaaza kuwa homeless. Lakini haya yote yamenipata kwasababu ya malenzi mabaya ya kuwa mtoto wa waziri. Kama baba yangu asinge kuwa waziri akaendelea na kazi yake ya uhasibu huwenda angetulea vizuri na tungejuwa ugumu wa maisha tukiwa bado wadogo. Chaga moto zimenikuta uzeeni, kuzikabili siwezi. Mzee akaanza kulia huku akitetemeka. Watu pembeni yetu wa kasema huyo anahitaji vodica. Sisi tuna juwa akikaa bila pombe anakuwa kama anataka kufa. Maongeze yetu yakaishia hapo. wenye mgahawa wakaita police. Jamaa wakaja kumchukuwa na Gari la wagojwa. Police wakaniuliza kama nilikuwa naye mimi nikawambia njisi tulivyo kutana wakachukuwa maelezo yangu. Na mimi nikawa uliza wanampereka wapi? Wakaniambia wanampereka kwenye hospital iliyo karibu na hapa. Kesho yake nikaenda kumjulia Hali hospital . Nitaendelea kuongea naye. Itaendelea....
Kaka mbona hichi kiswahili insonekana umetoka leo Manyoni kule Kintinku ndugu upo Biden kweli😁😁😁😁
 
Duuh pole yake na hongera kwa kuishi kifahari miaka mingi
 
Back
Top Bottom