Anaingia Period kila siku

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,191
Nimekutana na huyu dada week mbili zilizopita. Amekuwa ni mtu mwenye huzuni kila ninapokuwa nae

Hatimae Leo kanisimulia tatizo linalomsibu .Hii hali ilianza toka alipovunja ungo miaka miwili iliyopita, amehangaika sana mahospitalini na kwa wachungaji ila tatizo liko pale pale

Msaada pleasee
 
Nimekutana na huyu dada week mbili zilizopita.Amekuwa Ni mtu mwenye huzuni kila ninapokuwa nae

Hatimae Leo kanisimulia tatizo linalomsibu.Hii hari ilianza toka alipovunja ungo miaka miwili iliyopita,amehangaika Sana mahospitalini na kwa wachungaji ILA tatizo liko pale pale

Msaada pleasee
Hilo ni tatizo ktk homone ya oestrogens ambayo ndiyo inahakikisha mzunguko wako unaenda vizuri kuanzia kuvunja ungo hadi kikomo:
Suluhisho;
Atumie SHAKE OFF
SPLINA liquid chlorophyll
Red coffee
Cafe 73
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuvipata andika no yako hapo
 
Tashukuru Sana mkuu.namb Ni 255764813772
 
Nimekutana na huyu dada week mbili zilizopita.Amekuwa Ni mtu mwenye huzuni kila ninapokuwa nae

Hatimae Leo kanisimulia tatizo linalomsibu.Hii hari ilianza toka alipovunja ungo miaka miwili iliyopita,amehangaika Sana mahospitalini na kwa wachungaji ILA tatizo liko pale pale

Msaada pleasee
Anitafute mimi nimpe dawa apate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mkuu sio uniambie mm cha kufanya Kisha m tamfkshia yeye
Mkuu kazi yake ni nzio atakuwa na pepo mchafu aka Sheytwani mbaya anaye mletea mambo ya damu ya hedhi isiyokatika. Au atakuwa amefanyiwa ulozi aka uchawi na watu wake wa akribu ndioo maana nimekupa Address yangu unitafute nipate kumuuliza maswali muhimu sana. Hapa Sitoweza kukupa ushauri au tiba ya aina yoyote ile samahani.
 
Back
Top Bottom