Anaharufu kama bata nitamsaidiaje?

simpo kama ni wa jinsia kama yako namnasoma pamoja,its jst the mata of going to bath with him wit good soaps ambazo wewe unatumia unamwambia tu man hebu try this soap ni nzuri kweli.
Hata lotion,deodorant na vingine vyakukata harufu unakua kama unashare nae kumbe ndio unamwonyesha.Next time mwenyewe atavitafuta.
 
Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo.

Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion moja.

Shida ya huyu jamaa nilikuwa nashindwa kumtofautisha na bata,namaanisha alikuwa na kikwapa uspime yani kama mna discuss swali 1 unaweza kuhisi ni maswali 10.Yani sielewi sijui alikuwa analala na bata au.........Halafu inaonekana yeye hajistukii na anapenda sana mambo ya kusalimia ki westen yani kukumbatia wenzie.Hivi unapokutana na mtu kama huyu unaanzaje kumwambia,nadhani hili jambo sio geni jamani mmesha kutana nalo.


Bata mtamu sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom