Anaeweza nampa $50,000

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Kama kuna mtu anaweza kufanya zaidi ya hiyo nitampa $50,000
 
Attachments

  • duuu.jpg
    duuu.jpg
    103.3 KB · Views: 380
Mkuu usijeuza mali za familia! Inawezekana kabisa. Ongeza kwenye Anaeweza nampa $5000 (just a joke!). Otherwise moderators watakubana maana wako wengi sana wanaoweza! Kwani huyo alifanya nini na wengine washindwe!
 
Mkuu mtwana yupo dogo mmoja huwa anaonyesha anachokiita yeye 'fahari ya macho' kwenye Kivuko Kigamboni anaweza zaidi ya hapo. nafikiri ungefuata ushauri wa Eeka Mangi kuepusha shari.
 
Last edited by a moderator:
Kama mtu anaweza basi afanya halafu apijwe picha aipost sio maneno matupu
 
Kama mtu anaweza basi afanya halafu apijwe picha aipost sio maneno matupu

And then what? umkatalie kwamba siye?
ebu weka vocha hata ya elfu mbili tuone, then upige picha n mkono wako ukionekana umeshika dola angalau 500 tu.
then useme unapatikana wapi, usitake kuvunja watu migongo kwa dhana tu.
 
unaweza kuta hana ata dola 50 mfukon wala popote
 
hivi umewahi shika hata dolla 100?? naona hata dolla 1 hujawahi iyona, pia huyo mzanzibari mbona hana kiremba?? atakuwa myemeni huyo! mpatie hizo pesa huyohuyo!
 
Upload kwanza account statement yako kwanza tuione kama una uwezo wa kulipa hiyo hela.
Hiyo ni kawaida sana tu....!
 
hizi ndio akili za wanaume wengi sana

hahaha a physicis proffesor of mine once said " we men think ambt sex 98% of the time but look at what we have accomplished with the 2% we spend thinking productively" haya nyie wanawake mme accomplish nini? na bado tunawamega
 
THE CONCERN IS TOO PERSONAL MKUU ITS JUST INDIVIDUAL THOUGHT NOT ALL MEN ARE ALIKE THAT :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Back
Top Bottom