Nahitaji kazi/Kibarua nipate 50,000 nashida ya hii pesa

Hey There

Member
Nov 12, 2023
37
114
Mambo magumu hapa aise ninashida na kama 50,000 kila ninayemkopa hana kama kuna kibarua sehemu au mtu anakazi fulani ya kufanya nikapata hii pesa basi msaada unahitajika.

Sina kazi ya maana na nimepata changamoto ya kuuguza mfukoni sina kitu kabisa anayeweza nisaidia nitashukuru hali ngumu sana

Hata nikipata 20,000 nitajivutavuta ninauhitaji wa pesa wa haraka sijui naipata wapi
 
Wanajamii forum bwana, kuhisihisi kila mtu ni tapeli ni ugonjwa wa akili. Basi msaidie kazi wewe.
Unamsaidiaje kazi mtu ambaye hata haelezi Yuko wapi Tanzania

Hicho kibarua nimpe kwani Yuko wapi na mimi Niko wapi?

Wewe na huyo mwenzio matapeli Hela ya Krismasi au ada kama mumekosa tafuteni pa kutapeli sio Jamii Forums humu great thinkers wako kibao hampati mtu
 
Nipo DSM ninashida kweli na hio pesa sana kama kuna kazi naomba tu siombi full time job maana kupata kazi nzito nataka kazi ya siku moja/mbili nipate hio pesa nina shida na changamoto ambazo tunaita zinahitaji pesa haraka (HARD PAIN).

Intention yangu nataka kazi na pesa niliyoifanyia kazi ndio nachitaka ila hata nikisaidiwa nipo tayari kupokea maana nauihitaji na hio pesa na kuoata hizo kazi za kufanya kupata pesa nazo sio rahisi kupata naomba nikibahatisha hapa.

Hatuna ndugu wanaofanya kazi serikalini wala wafanyabiashara hata wakumuomba msaada haraka hatuna.
 
ACHA UTOTO
Yesu alisema kwenye

Mathayo 18:3​

akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Kukwepa matapeli vizuri kujifanya mtoto kuliko kujifanya mtu mzima unapigwa mchana kweupe jua linawaka
Mimi nimezingatia hiyo kanuni tafuteni wanaojifanya wamekua ni wakubwa muwalize walie kama watoto wadogo wakati ni watu wazima
 
Weka namba yako ya simu ili wakuchangie wewe badala ya yeye
 
Uzi hiyo smartphone mkuu. Pata pesa kapige del, likitiki nunua simu nyingine. Easy
Mimi ni job seeker na simu ndio nyenzo kuu inayonisaidia kutafuta kazi through sina connection za kazi connection nazotegemea ni online connections
1/Kuna kazi nime apply nangoja majibu via online
2/Kuna kazi natakiwa ku-apply online hasa huu mwezi unaokuja
3/Kuna some issues kadhaa ambazo naziendea za kutafuta kazi pia kupitia online

Mbali na hayo hii simu yangu hata wewe nikikuuzia hununui.
 
Back
Top Bottom