mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Oa acha ujinga!
mm mzima wa afya kabisa
hahhhha jamani mr rocky ngoja aje mi simo
Nimekusoma kaka Rocky..
t
tehtehteh..Kongosho bwana!...ila ujumbe wako nao utafanyiwa kazi!
mkuu kweli naweza kuwa kaka afu nikajiita "girl" jamani?
jamani u made ma day kwa kicheko leo jah! sina shaka mana hata ivo alishasema mm na yy ni mwendo wa PM tu mana hataki huku uwanjani wanga wengiMi si namfaham jamaa
huwa akienda kuchota maji anaenda pia kuogelea mtoni
We CUTE utachelewa wala hutamuona
Kama shida ni mtoto tu si wapo wakupandikiza? huyo mama akanunue mbegu.
jamani u made ma day kwa kicheko leo jah! sina shaka mana hata ivo alishasema mm na yy ni mwendo wa PM tu mana hataki huku uwanjani wanga wengi
hapana hapa ni ivuga peke yake anakaribishwa wewe utaishia sebuleni tu kila siku na kuna siku itabidi uishie nje kabisaAise na mimi nakaribishwa huko chumbani au niishie hapa hapa sebuleni tuu
SnowBall usikasirike tunachakachua siredi kidogo
hapana hapa ni ivuga peke yake anakaribishwa wewe utaishia sebuleni tu kila siku na kuna siku itabidi uishie nje kabisa
umefanya uamuzi wa busara sana na umenifuraisha ulivyoelewa haraka sio kama huyu kaka ambaye ana mke na bado anashindwa kumtimua mbio huyo mama anayetaka mimba kwake tena hapo alitakiwa afanye maamuzi peke yake mapema sio mpaka amshirikishe rafiki hapo inaonesha yule mama mtaka mimba anaanza kushinda hilo game na jamaa tayari dilemaBora nisije
Mambo gani ya kuishia sebuleni kila siku bana
Au nije niishie nje
hapana kabisa najitoa kwenye rally
namwachia Saint Ivuga aendelee bana
The Boss ungefunguka na hayo mengine bro!
umefanya uamuzi wa busara sana na umenifuraisha ulivyoelewa haraka sio kama huyu kaka ambaye ana mke na bado anashindwa kumtimua mbio huyo mama anayetaka mimba kwake tena hapo alitakiwa afanye maamuzi peke yake mapema sio mpaka amshirikishe rafiki hapo inaonesha yule mama mtaka mimba anaanza kushinda hilo game na jamaa tayari dilema
umeona eeh mtu unaanza kuwaza kumbe walioko ktk ndoa siku akikutana na wakale wake akiomba msaada wa kimapenz atasaidiwa ingawa sio woote wanawaza ivo ila wanaharibia wale ambao hawawazi ivoYeah huwa inauma sana unapoona mtu anaelezea mazingira ya kutaka kusaliti ndoa yake
Na anakuja na sababu ambazo hazina mshiko wala hazifai
Yaani mtu anajustfy kile anachoona kinafaa kwa upande wake ila bila kujiuliza maumivu ya upande wa pili
na hawa ndo wanaoifanya ndoa ionekane haina maana
amwambie aende huko sperm bank kama bongo zikosioni tatizo 'kumsaidia' mwanamke kupata mtoto
Ulaya wana 'sperm bank' wanaenda
sasa huku wataenda wapi?
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/Unajua JF sometimes kuna vituko hapa..na wakati mwingine huku kuficha IDs kunaleta mengi. Unajua nini Charminggirl?. Juzi kati hapa kulikuwa na uzi wa mtu anaitwa Zubeda_mchuzi, na kwa kuangalia jina na avatar watu tukajua huyu kwa vyovyote ni mdada.
Loh asalale..kumbe eti mkaka bana. So, haya majina na avatar wakt mwingine hayatoshi ku'demscribe' mtu. Anyway, samahani kama nimekuita mkaka kumbe ni mdada. Na kama hujali nitaku-PM ili nikupe samahani nyingine! just kidding!