Ana nuksi au ni bahati mbaya ?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kuna dada mmoja anafanya kazi kwenye salon ya kiume nayoendaga,huyu dada alihamia Mbagala mwezi mmoja kabla ya mabomu na mwezi wa 12 mwaka jana alihamia Gongo la Mboto kwahiyo matukio yote mawili yalimuathiri.
Ana mpango wa kuhamia Kawe kwahiyo wakazi wa huko muwe na tahadhari kama kweli ana mkosi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom