Amyner!

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Kipenzi changu Amyner....!
Najua nilikukosea sana ila nashukuru things are now good,kweli u muelewa na mwenye mapenzi ya dhati kwangu,Nakuahidi kulinda penzi letu kwa nguvu zote!
Pia hii ishu imenisaidia kuwajua wabaya wangu, Bishanga BADILI TABIA Remmy Nicas Mtei BAGAH Erotica Baba V wote hawa sio rafiki wema...!
Nimewajua friends wa kweli, Kongosho thanks sn Smiling Saint The secretary Qt B YNNAH wote nasema asante sana kwa upendo wenu.
Mamndenyi thanks mumy
special thanks kwa Judgement na Mwanyasi !
Mwisho nawajulisha kuwa mi na Amyner Hakunaga zaidi yetu....
Amyner, I love you so much!
Signed
Erickb52
 
Last edited by a moderator:
kli kli kli kli

hongera mwaya lol
nilijua Amyner hawezi tuangusha, ila kususa na kununa suna
 
Last edited by a moderator:
kli kli kli kli

hongera mwaya lol
nilijua Amyner hawezi tuangusha, ila kususa na kununa suna
Kweli ni suna ila inaumiza sn...
Ndo ananiandalia chakula nile,tangu jana hatujala shida tupu
Asante mwaya umeokoa penzi langu!
 
Last edited by a moderator:
wapendanao wakigombana chukua jembe kalime ukirudi utakuta mabusu motomoto.:couch2:
 
Hope Bishanga amepata ujumbe na wenzake wenye roho za kwanini

tena huyo mzee Bishanga tuje tuite kikao kabisa tumfunde yawezekana hakwenda jandoni ndo maana anasumbua.:sad:haiwezekani kila mgogoro unaotokea kwenye ndoa za members ye anakuwa mshitakiwa no.1 why.
 
tena huyo mzee Bishanga tuje tuite kikao kabisa tumfunde yawezekana hakwenda jandoni ndo maana anasumbua.:sad:haiwezekani kila mgogoro unaotokea kwenye ndoa za members ye anakuwa mshitakiwa no.1 why.
Itasaidia sana coz kazidi aisee mh
Halafu nahisi biashara zake za banana zimegoma ndo mana anasumbua
 
yaani mie nimekua adui yako usiku huu?
Wakati mchan kutwa tulikuwa tunakimbizana na suti zetu za asili nyumba nzima? Sitaki kuamini..........

Anyway....
Amyner unamrudia Erickb52? Ule mjenho wa The Boss unaurudisha?
 
Last edited by a moderator:
Kipenzi changu Amyner....!
Najua nilikukosea sana ila nashukuru things are now good,kweli u muelewa na mwenye mapenzi ya dhati kwangu,Nakuahidi kulinda penzi letu kwa nguvu zote!
Pia hii ishu imenisaidia kuwajua wabaya wangu, Bishanga BADILI TABIA Remmy Nicas Mtei BAGAH Erotica Baba V wote hawa sio rafiki wema...!
Nimewajua friends wa kweli, Kongosho thanks sn Smiling Saint The secretary Qt B YNNAH wote nasema asante sana kwa upendo wenu.
Mamndenyi thanks mumy
special thanks kwa Judgement na Mwanyasi !
Mwisho nawajulisha kuwa mi na Amyner Hakunaga zaidi yetu....
Amyner, I love you so much!
Signed
Erickb52

Waow! Haya ndio mambo tulitaka!
Nimefarjika sana kupata habari hii. Amyner huu ndio ushujaa, wachonga ngenga maranyingi hawanikiwi!
NMependa msimamo wako na uelewa wako shem, keep it up mpendane milele!
Mara nyingi mambo ya ndani msitoe nje! Mwali na Ivuga muige haya pia! :wink2:
 
Last edited by a moderator:
yaani mie nimekua adui yako usiku huu?
Wakati mchan kutwa tulikuwa tunakimbizana na suti zetu za asili nyumba nzima? Sitaki kuamini..........

Anyway....
Amyner unamrudia Erickb52? Ule mjenho wa The Boss unaurudisha?
BADILI TABIA yaliyopita yanabaki historia wewe na wenzako haniombei mema....nimeamua kuwa muwazi tu!
Nampenda Amy na sitaki kumpoteza tena hata kwa dakika moja!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom