Amyner!

Ile uliyonipa nililipa deni la kanga doti kumi nilizokuwa nikopa kwa mwarabu,

kama vipi ulinipe tena hela nyingine, inawezekana ndiyo maana dada ananata kihivyooooooo.

Mamndenyi kishika uchumba tena wakati nilishakupa tangu mwaka jana?
Si tunatafuta mtoto sasa maana tumeshachoka kukaa wenyewe
 
Ile uliyonipa nililipa deni la kanga doti kumi nilizokuwa nikopa kwa mwarabu,

kama vipi ulinipe tena hela nyingine, inawezekana ndiyo maana dada ananata kihivyooooooo.
Haya mama ntakupa...siunajua nampenda sana katotoo so hata iweje lazma nikupe tu Mamndenyi wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom