Amyner!

Asnan,unanianza eh?
tena huyo mzee Bishanga tuje tuite kikao kabisa tumfunde yawezekana hakwenda jandoni ndo maana anasumbua.:sad:haiwezekani kila mgogoro unaotokea kwenye ndoa za members ye anakuwa mshitakiwa no.1 why.
 
yaani mie nimekua adui yako usiku huu?
Wakati mchan kutwa tulikuwa tunakimbizana na suti zetu za asili nyumba nzima? Sitaki kuamini..........


Anyway....
[MENTIONa=48347]Amyner[/MENTION] unamrudia Erickb52? Ule mjenho wa The Boss unaurudisha?
Acha fitna,tafuta wa kwako.
Btw bishanga is very available achana na vijana.
 
Last edited by a moderator:
Amyner darling... achana na @Ericb52, hakufai kabisa hata kwa mchuzi.

kuna kaka'angu anakupenda na anajua kulea wala hana purukushani. ni mwanaume wa ukwee

akitoka nje atatoka kwa mmoja tu sio kama Eric anaetoka na sisi wengi. come this way Amy........
Meza piriton ulale!
 
Kipenzi changu Amyner....!
Najua nilikukosea sana ila nashukuru things are now good,kweli u muelewa na mwenye mapenzi ya dhati kwangu,Nakuahidi kulinda penzi letu kwa nguvu zote!
Pia hii ishu imenisaidia kuwajua wabaya wangu, Bishanga BADILI TABIA Remmy Nicas Mtei BAGAH Erotica Baba V wote hawa sio rafiki wema...!
Nimewajua friends wa kweli, Kongosho thanks sn Smiling Saint The secretary Qt B YNNAH wote nasema asante sana kwa upendo wenu.
Mamndenyi thanks mumy
special thanks kwa Judgement na Mwanyasi !
Mwisho nawajulisha kuwa mi na Amyner Hakunaga zaidi yetu....
Amyner, I love you so much!
Signed
Erickb52

mbona ya Amyner ilikua OFFICIALY SIGNED?...hii yako vip braza?
hata mhuri haina!!LOL
MWISHO:hakuna mtu mzuri kama yule anakwambia ukweli...haha!...group A ulilotaja (ambalo nami nimo) ndo ndugu na marafiki wa ukweli...kalagabaho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom