Swali zuri.Je sheria yetu nchi inaruhusu kuanzisha matawi ya vyama vya siasa katika taasisi mbali mbali za elimu au mahala pa kazi???
Amos Makala is a clever man and gud man , hana kashfa yoyote ya ufisadi ,that is why jk appointed him mweka Azina wa CCM taifa